iqna

IQNA

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jopo la waamuzi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yanayoendelea Port Said, Misri, limewataja washindi wa duru ya kwanza.
Habari ID: 3478314    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06

Pepo Katika Qur'ani / 4
IQNA – Imebainishwa katika aya za Qur’ani Tukufu kwamba dunia hii ni mahali ambapo mwonekano wa mambo unadhihiri na akhera ni mahali pa kuteremshwa Malakut yao.
Habari ID: 3478309    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Harakati za Qur'ani
IQNA - Wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 40 wanashiriki katika mashindano ya 19 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria.
Habari ID: 3478307    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Utamaduni
IQNA - Waandaaji wa toleo la 55 la Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo wanasema Misahafu au nakala za Qur’ani Tukufu ni vitabu vinavyouzwa kwa wingi zaidi katika hafla hiyo ya kitamaduni.
Habari ID: 3478306    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Pepo Katika Qur'ani /3
IQNA – Qur’ani Tukufu, katika Surah Muhammad (SAW), inataja mito minne peponi ambayo ndani yake kuna maji safi, maziwa, Sharaban Tahur (mvinyo usiolewesha), na asali safi inayotiririka.
Habari ID: 3478298    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03

Watetezi wa Qur'ani
IQNA - Washiriki wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani huko Port Said, Misri, walifanya maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa wa Gaza.
Habari ID: 3478294    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03

Harakati za Qur'ani
IQNA - Vituo kadhaa vya Qur'ani vimejengwa kwenye njia ya mamilioni ya wafanyaziara wanaotaka kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Musa Kadhim (AS) nchini Iraq.
Habari ID: 3478290    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02

Pepo Katika Qur'ani /2
IQNA – Wakati uzuri wa pepo hauelezeki au kudirikiwa kikamilifu na mwanadamu, Qur'ani Tukufu inailinganisha na mandhari ya ajabu katika dunia hii ambayo daima ni ya kijani kibichi na yenye shime na mito ya maji safi ambayo inapita chini ya bustani zake.
Habari ID: 3478285    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01

Qarii
IQNA – Sheikh Shaban Abdul Aziz Sayyad, qari mashuhuri wa Misri ambaye alijulikana kwa ufasaha, uwezo na umahiri wake wa kusoma Qur’ani Tukufu, alifariki Januari 29, 1998, akiwa na umri wa miaka 58.
Habari ID: 3478284    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01

IQNA - Siku ya 27 ya mwezi wa Hijri wa Rajab iliteuliwa kuwa Siku ya Kitaifa ya Kurani Tukufu nchini Iraq.
Habari ID: 3478283    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01

Uislamu
IQNA - Makumi ya vijana wa Kiislamu nchini Madagaska (Madagascar) walishiriki katika tukio la kipekee kama sehemu ya ibada ya Itikaf, iliyomalizika Januari 26, 2024.
Habari ID: 3478282    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Tajikistan amesisitiza ulazima wa kuwepo umoja katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuiokoa Palestina kutokana na ukandamizaji na kukaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478277    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30

Harakati za Qur'ani
IQNA - Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yatafanyika wakati wa likizo ya Nowruz, yaani mwaka mpya wa Kiirani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478276    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30

Harakati ya Qur'ani
IQNA - Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuzindua kituo cha tarjama au tarjuma ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478275    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30

Pepo Katika Qur'ani/2
IQNA – Baraka ambazo waumini watazipata peponi hatuwezi kuzifahamu na kuzidiriki kikamilifu kwani akhera ni dunia iliyo bora zaidi, kubwa na ya juu kuliko dunia hii.
Habari ID: 3478274    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Misri
IQNA - Ahmed Hijazi, mwanamuziki wa Misri, amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kuitusi Qur'ani Tukufu, vyombo vya habari vya nchi hiyo vimeripoti.
Habari ID: 3478272    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Sudan
IQNA - Nakala ya Qur'an Tukufu ilibakia salama baada ya moto kuteketeza gari nchini Sudan hivi karibuni.
Habari ID: 3478271    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

IQNA – Kiikao cha Khatmul Quran (kusoma Qur'ani Tukufu kutoka mwanzo hadi mwisho) kimefanyika kwa wanawake katika msikiti katika mji mkuu wa Misri.
Habari ID: 3478270    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Uislamu kwa watu wote
IQNA - Nakala za Qur'ani Tukufu na vitabu vya Kiislamu katika maandishi ya maandishi ya nukta nundu au kwa lugha ya kiingereza Braille, ni miongoni mwa vitu vilivyoonyeshwa kwenye toleo la 55 la Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3478267    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28

Ta'azia
IQNA - Qari Barakatullah Saleem, msomaji na mwanazuoni mashuhuri wa Qur'ani Tukufu wa Afghanistan, alifariki siku ya Jumamosi mjini Kabul baada ya kuugua, familia yake ilithibitisha.
Habari ID: 3478263    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28