iqna

IQNA

Turathi ya Kiislamu
IQNA - Miongoni mwa vitu vinavyoonyeshwa kwenye Maktaba ya Kitaifa ya Qatar ni nakala adimu ya Qur'ani Tukufu kutoka Morocco.
Habari ID: 3478442    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03

Harakati za Qur'ani Misri
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri inapanga kuzindua msafara wa wasomaji Qur'ani Tukufu kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Msafara huo utaundwa na Idara ya Wakfu ya Mkoa wa Alexandria.
Habari ID: 3478441    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Misikiti nchini Misri inatayarishwa kuwakaribisha waumini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478436    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01

Waislamu Russia
IQNA - Kijana mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 3.5 jela nchini Russia kwa kujunjia heshima nakala Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478430    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/29

Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri iliandaa kongamano la Qur'ani katika misikiti 66 kote nchini.
Habari ID: 3478426    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28

Qur'ani Tukufu barani Afrika
IQNA-Video iliyosambazwa na mtalii wa Morocco, ambapo watoto wa Kiafrika wanasoma aya za Sura Maryam kwa njia nzuri na ya kipekee, imewavutia wengi katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3478425    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28

Harakati za Qur'ani
IQNA - Astan (Mfawidhi) wa Haram tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, ilimtaja mwandishi mashuhuri wa kaligrafia, Uthman Taha kama shakhsia wa Qur'ani wa mwaka.
Habari ID: 3478413    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/25

Saikolojia katika Qur’ani /1
IQNA – Msongo wa mawazo (stress) au shinikizo la kisaikolojia ni hali ambayo hutokana na matukio mabaya au magumu  ambayo huathiri mwili au akili ya mtu na kusababisha msukosuko na mfadhaiko.
Habari ID: 3478375    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/18

Harakati za Qur'ani
IQNA - Makumi ya watoto huko Rafah, kusini mwa Gaza, ambao wamehitimu katika mafunzo ya
Habari ID: 3478360    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA –Raundi ya mwisho ya toleo la 8 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanafunzi wa shule za Kiislamu duniani itaanza mjini Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478351    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani yanaendelea nchini Mauritania ambayo yanalenga kuchagua wawakilishi wa nchi hiyo ya Kiafrika kwa ajili ya mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3478348    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kimataifa ya mabingwa katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu na utamaduni wa Kiislamu yamepangwa kufanyika nchini Misri msimu huu wa kiangazi.
Habari ID: 3478346    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/13

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Waislamu wa Uholanzi wamesambaza nakala za Qur’ani Tukufu zenye tafsiri ya Kiholanzi ili kujibu la jaribio la mrengo mkali wa kulia la kuchoma kitabu kitakatifu cha Waislamu mwezi uliopita.
Habari ID: 3478342    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mpango wa Qur'ani kwa watoto nchini Misri umepokelewa vyema sana katika majimbo tofauti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3478341    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Harakati za Qur'ani
IQNA - Misikiti mikubwa nchini Misri itakuwa imeandaa programu za Khatm al Qur’an (kusoma Quran nzima) katika siku ya kwanza ya mwezi wa Hijri wa Shaaban.
Habari ID: 3478336    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11

Waliobobea
IQNA – Muhammad Abdul Hadi Muhammad al-Hilbawi alizaliwa katika wilaya ya Bab al-Sharia mjini Cairo mnamo Februari 9, 1946, alianza kuhifadhi Qur’ani Tukufu akiwa mtoto chini ya uongozi wa babu yake.
Habari ID: 3478328    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA-Mahakama ya Uhajiri ya Uswidi (Sweden) imetangaza kwamba, mtafuta hifadhi wa Iraq, ambaye amefanya vitendo kadhaa vya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu, atafukuzwa nchini humo.
Habari ID: 3478324    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mashabiki wa soka wanamtaja Mousa Mohammad Mousa Sulaiman Al-Tamari kama "Messi wa Jordan".
Habari ID: 3478318    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Qur'ani Tukufu
IQNA - Maonyesho yanayoangazia kazi za sanaa za Qur'ani Tukufu na bidhaa husika kutoka Iran yamezinduliwa katika mji mkuu wa Thailand wa Bangkok.
Habari ID: 3478317    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Teknolojia
IQNA - Kongamano la teknolojia ya Qur'ani Tukufu limepangwa kufunguliwa katika mji mkuu wa Saudia wa Riyadh wikendi hii. Itahudhuriwa na kundi la wataalam, wasomi na weledi wa teknolojia.
Habari ID: 3478316    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07