Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /30
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kusikia kisomo cha Qur'ani cha qari mashuhuri wa Misri Sheikh Muhammad Rifat wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, rubani mmoja wa Kanada alipendezwa na Uislamu na baadaye akaenda Misri kusilimu mbele ya msomaji huyo maarufu wa Quran Tukufu.
Habari ID: 3476812 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/04
Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu Iran
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu Iran ameyataja Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kama fursa kwa nchi za Kiislamu kukusanyika pamoja na kunufaika na mafundisho ya Kiislamu na Qur'ani.
Habari ID: 3476809 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/04
Ushirikiano wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Kampala, mji mkuu wa Uganda, kimetia saini mkataba wa maelewano (MoU) na Idhaa ya Kiislamu ya Bilal ya nchi hiyo ya kuhusu ushirikiano katika nyanja za kitamaduni.
Habari ID: 3476807 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/03
Kukabiliana na maadui wa Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Yemen imepiga marufuku kuingia kwa bidhaa zinazozalishwa na nchi za Ulaya ambazo zimewezesha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, ambapo kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ameitaja hatua wanayochukua kuwa ni "vikwazo vya kiuchumi".
Habari ID: 3476802 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/02
Maonyesho ya Qur'ani ya Tehran
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yamefunguliwa rasmi Jumamosi na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi.
Habari ID: 3476799 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/02
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imemwita balozi wa Denmark nchini humo ili kutoa malalamiko yake ya kupinga kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.
Habari ID: 3476795 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/01
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, watu wanaoongoza jinai ya kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu na kulikariri hilo ni lobi za Wazayuni.
Habari ID: 3476789 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/31
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Kwa mwaka wa pili mfululizo, mamia ya Waislamu waliokuwa katika Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani walifuturu na kusali Sala ya tarawehe katika uwanja wa Times Square mjini New York nchini Marekani.
Habari ID: 3476786 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/30
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani wimbi la kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Denmark na katika nchi nyingine za Ulaya.
Habari ID: 3476779 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/29
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Mwenyezi Mungu Mtukufu amewataka waumini kuwa na uthabiti na kushikamana katika sala zao na wasiwe kama washirikina. Haya ni kwa mujibu wa aya ya 31 ya Surah Ar-Rumn katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476778 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/29
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) - Mwezi mtukufu wa Ramadhani, unaosifiwa kuwa ni mwezi wa Qur'ani Tukufu, ni fursa nzuri zaidi ya kujikurubisha na kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu na kutafakari aya zake.
Habari ID: 3476777 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Qarii wa Qur'ani ni mfikishaji wa ujumbe na risala ya Mwenyezi Mungu na ili kufikisha ujumbe huo kwa njia nzuri ana haja ya kuwa na sauti nzuri na usomaji bora kabisa.
Habari ID: 3476750 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/24
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Vipindi vya toleo la sita la Tuzo ya Katara ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu vitaonyeshwa kwenye Televisheni ya Qatar katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476747 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/23
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Maldives (Maldivi) alitoa wito kwa watu kuutumia vyema mwezi mtukufu wa Ramadhani, ambao huenda ukaanza siku ya Alhamisi, na kutafuta faraja na nguvu katika mwanga wa nuru ambayo ni Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476738 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/21
Aya za Machipuo/ 2
TEHRAN (IQNA) - Wakati Wairani na mataifa mengine kadhaa wakisherehekea siku kuu ya Nowruz, kuashiria mwanzo wa majira ya machipuo, ni wakati muafaka wa kuashiria aya za Qur'ani Tukufu kuhusu kuhuishwa ardhi katika majira ya kuchipua baada ya msimu wa majira ya baridi kali. Kwa hakika machipuo nidalili za rehema na uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476737 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/21
Wanamichezo Waislamu
Tehran (IQNA) - Picha za Sadio Mane mchezaji wa Timu ya Soka ya Taifa ya Senegal ambaye pia ni mchezaji wa Klabu Bayern Munich ya Ujerumani akisoma Qur’ani Tukufu imesambaa katika mitandao kijamii na kuwavutia .
Habari ID: 3476736 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/21
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Hatua ya hivi majuzi ya wanajeshi kadhaa wa Ukraine kuteketeza moto nakala ya Qur'ani Tukufu inaendelea kulaaniwa vikali , huku rais wa Jamhuri ya Chechnya katika Shirikisho la Russia akiapa kuwatafuta na kuwaadhibu wale waliohusika na kitendo hicho kichafu.
Habari ID: 3476722 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/18
Tarjuma ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Maktaba ya Kitaifa ya Russia imeandaa hafla siku ya Alhamisi kumkumbuka na kumuenzi marehemu mwanahistoria wa mashariki na mtarijumani wa Qur'ani Tukufu kwa Kirusi Ignatius Krachkovsky.
Habari ID: 3476721 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/17
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Darul Qur'an al-Karim ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapanga kufanya duru 2,500 za usomaji wa Qur'ani nchini wakati wa mwezi mtukufu ujao wa Ramadhani.
Habari ID: 3476712 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/16
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa toleo la 9 la mashindano ya Qur'ani kwa Waislamu barani Ulaya walitunukiwa zawadi katika hafla ya kufunga iliyofanyika Ujerumani.
Habari ID: 3476711 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/15