qurani tukufu - Ukurasa 43

IQNA

Waislamu Malaysia
IQNA - Serikali ya Malaysia imethibitisha dhamira yake ya kuwawezesha vijana wanaohifadhi Qur'ani Tukufu ili kuhakikisha wanafaulu katika fani hiyo sambamba na kuwapa ujuzi katika nyanja zingine za kitaaluma.
Habari ID: 3479442   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/16

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 2
IQNA-Mazungumzo yasiyo na maana pia huitwa "tamaa ya maneno". Hii ni tabia isiyofaa na kwa mujibu wa  maadili ya Kiislamu na hivyo Muislamu anapaswa kujiepusha nayo.
Habari ID: 3479440   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/15

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Muda wa mwisho wa usajili wa Toleo la 31 la Mashindano ya Qur'ani na Etrat kwa Vkosi vya  Basij vya Iran uliongezwa ambapo zaidi ya nusu milioni tayari wamejiandikisha kwa ajili ya tukio hilo.
Habari ID: 3479433   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/14

Harakati za Qur'ani
IQNA - Zaidi ya wahifadhi wa Qur'ani wapatao 150 wanaume na wanawake kaskazini mwa Gaza walikusanyika kwa ajili ya kikao cha Qur'ani, ambao walisoma Qur'ani nzima nzima kwa kikao kimoja, pamoja na kuwepo vita vya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3479432   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/14

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 1
IQNA – Ulimi, sawa na viungo vingine vya mwili, ni njia ya kutenda madhambi ikiwa mwanadamu hatafuata kanuni na maamrisho ya Mwenyezi Mungu, na ni njia ya kumtii Mwenyezi Mungu ikiwa tutafuata maamrisho ya Uislamu.
Habari ID: 3479427   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la tano la Mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq, lilifikia tamati katika sherehe zilizofanyika wikendi.
Habari ID: 3479416   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/11

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Qur'ani kwa vijana nchini Yemen ilianza katika mji mkuu Sana'a Jumatatu usiku.
Habari ID: 3479415   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/11

Qur’anI na Jamii/2
IQNA – Kujikusanyia mali kwa wingi , kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu, ni jambo ambalo limegawanywa katika kategoria mbili; manfuaa na madhara.
Habari ID: 3479414   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya awali ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani ya Algeria imeanza kwa kushirikisha washiriki 225 wa kiume na wa kike.
Habari ID: 3479413   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 38 la Mashindano ya Qur'an na Etrat kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Iran lilizinduliwa katika mji wa kaskazini magharibi wa Tabriz siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3479412   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10

Uislamu na Afya
IQNA – Muhammad Naquib Ajmal Mohd Jamal Nasir, mwenye umri wa miaka 26 ambaye aligundulika kuwa na usonji, alihitimu Jumatatu kwa Shahada ya Kwanza ya Mafunzo ya Qur'ani na Sunnah kutoka Universiti Islam Pahang Sultan Ahmad Shah (UNIPSAS).
Habari ID: 3479410   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10

Usomaji Qur'ani
IQNA - Msomaji mashuhuri wa Qur'ani wa Misri Sheikh Muhammad Sidiq Minshawi ameenziwa katika hafla iliyofanyika nchini Tanzania hivi karibuni.
Habari ID: 3479408   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10

Harakati za Qur'ani
IQNA – Kituo cha Hikmat (hekima) cha Dar-ul-Quran kilizinduliwa huko Pretoria, mji mkuu wa kiserikali nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3479406   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09

Watoto na Qur'ani
IQNA - The "Little Memorizers" Academy ni taasisi huko Pristina, mji mkuu wa Kosovo, ambayo inafundisha Qur'ani kwa watoto.
Habari ID: 3479405   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09

Harakati za Qur'ani
IQNA - Jumuiya ya Wasomaji na Wahifadhi wa Qur'ani ya Misri iliwaonya maqari  dhidi ya kitendo chochote ambacho kinachukuliwa kuwa ni cha kutoheshimu Kitabu cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479400   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/08

Arbaeen
IQNA - Wafanyaziara wawili wa Iran walianza mradi mwaka huu wa kuandika aya za Qur'ani Tukufu katika safari yao ya siku 72 ya Arbaeen kutoka Mashhad, Iran hadi Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479396   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07

Msomi wa Qur'ani
IQNA - Ahmed al-Aimash (Laimeche) ni mtu mashuhuri nchini Algeria na ulimwengu wa Kiarabu kutokana na jukumu lake katika kukuza Uislamu na kuimarisha utambulisho wa kitamaduni wa Waarabu.
Habari ID: 3479391   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07

Shughuli za Qur'ani
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya  Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq iliandaa programu mbalimbali za Qur’ani kwa wafanyaziara wa kike wakati wa matembezi ya Arbaeen mwaka huu.
Habari ID: 3479388   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/06

Muqawama
IQNA- Badreddin Abdul Malik al-Houthi, kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, katika hotuba yake kuhusu hali mbaya ya hivi sasa ya Umma wa Kiislamu amesema kuna ulazima kufungamana na Mtume Muhammad (SAW0 Mtume na Qur'ani Tukufu, amesisitiza haja ya Waislamu kusoma na kuiga shakhsia ya Mtume (SAW).
Habari ID: 3479387   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/06

IQNA - Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Mauritania inapanga kuandaa mashindano ya Qur'ani na Hadithi kwa nchi za Afrika Magharibi.
Habari ID: 3479382   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/04