Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Qur'ani Tukufu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi, na kubainisha kuwa kukitukana kitabu hicho kitakatifu cha Waislamu ni kuwatukana Mitume wa Mwenyezi Mungu na maandiko matakatifu.
Habari ID: 3477235 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/04
Chuki dhidi ya Uislamu
STOCKHOLM (IQNA) - Serikali ya Uswidi (Sweden) Jumapili ilitoa taarifa baada ya nakala ya Qur'ani Tukufu kuchomwa moto nje ya msikiti katika mji mkuu wa nchi hiyo, Stockholm.
Habari ID: 3477229 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/03
Chuki dhidi ya Uislamu
MUSCAT (IQNA)- Mufti wa Oman ametoa wito wa kususiwa bidhaa za Sweden kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Uswidi (Sweden).
Habari ID: 3477228 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/02
Chuki dhidi ya Uislamu
BRUSSELS (IQNA)- Umoja wa Ulaya umelaani vikali tukio la hivi majuzi la kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nje ya msikiti katika mji mkuu wa Stockholm nchini Uswidi, na kulitaja kuwa ni "kitendo cha wazi cha uchochezi."
Habari ID: 3477225 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/02
Chuki dhidi ya Uislamu
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mataifa ya Waislamu yana wajibu na jukumu la kulaani na kupinga vitendo vya nchi za Magharibi vya kuvunja heshima matukufu ya Kiislamu, hususan Qurani Tukufu.
Habari ID: 3477223 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/01
Chuki dhidi ya Uislamu
Rais wa Pakistan Arif Alvi amelaani vikali kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi (Sweden), huku akitaka kuchukuliwa hatua za kukomesha vitendo hivyo vya kufuru.
Habari ID: 3477222 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/01
Chuki dhidi ya Uislamu
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetangaza mkutano wa dharura kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu hivi karibuni katika mji mkuu wa Stockholm wa Uswidi.
Habari ID: 3477220 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/01
Utakatifu wa Qur'ani
Rais wa Urusi (Russia) Vladimir Putin alisema Qur'ani ni takatifu kwa Waislamu na inapaswa kuwa takatifu kwa wengine pia.
Habari ID: 3477219 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/01
Chuki dhidi ya Uislamu
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kuivunjia heshima Qur'ani ni kuvunjia heshima na kudunisha ubinadamu na thamani za Kiislamu, na jamii ya Kiislamu haitavumilia suala hilo.
Habari ID: 3477217 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/30
Chuki dhidi ya Uislamu
Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Marjaa wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq amelaani hatua ya Uswidi (Sweden) kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo na ameutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kuzuia kukaririwa vitendo vya kuvunjiwa heshima kitabu cha Waislamu cha Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477215 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/30
Mwenyezi Mungu, katika Surati Al-Bayyina, anaielezea Qurani Tukufu kama kitabu chenye thamani ambacho kina sheria za milele za mwongozo.
Habari ID: 3477205 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/27
Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar chenye makao yake makuu mjini Cairo na Bunge la Kiarabu vimekashifu kitendo cha kudhalilishwa kwa Qur'ani Tukufu na walowezi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3477200 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/27
Mahmoud Shahat Anwar, msomaji mpya na mashuhuri wa Misri, amesoma Tafsiri ya aya ya 17 ya Surati Baqarah kuhusu Hijja katika kisomo kipya.
Habari ID: 3477190 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/25
Shughuli za Qur'ani
Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua kozi tatu za mtandaoni za Qur'ani kwa wanafunzi kutoka nchi mbalimbali.
Habari ID: 3477134 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/11
Matukio ya Palestina
Chuo kikuu jumuishi cha kimataifa cha mafundisho ya Kiislamu kimepangwa kuanzishwa mjini Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3477119 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08
Sura za Qur'ani Tukufu / 82
Mwanadamu ana baraka nyingi maishani, ambazo zote amepewa na Mwenyezi Mungu. Lakini wakati mwingine anazichukulia kuwa za kawaida na kushindwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema alizomtunuku.
Habari ID: 3477107 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/06
Uislamu Brazil
Waziri wa Utalii wa Brazil Daniela Carneiro ametembelea maonyesho ya Qur'ani Tukufu yanayoendelea katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
Habari ID: 3477097 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/04
Qiraa ya Qur'ani
Klipu ya qiraa ya usomaji mzuri na wenye mvuto wa Qur'ani Tukufu Yasser Al-Dosri, mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Saudi Arabia na mmoja wa maimamu wa Masjid al-Haram (Msikiti Mtakatifu wa Makka) katika sala ya Alfajiri katika msikiti huu mtukufu, imevutia hisia za watumiaji wengi wa mtandao.
Habari ID: 3477090 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri amewatunuku washindi wa Mashindano ya Kila Mwaka ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Al-Azhar.
Habari ID: 3477087 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimezindua mpango wake wa Qur'ani kwa majira ya kiangazi.
Habari ID: 3477077 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/31