Kiongozi Muadhamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza hatua ya kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi mkuu wa jana Ijumaa na kusisitiza kuwa, 'washindi wakuu wa uchaguzi ni wananchi wenyewe, ambao azma yao thabiti haikuvunjwa moyo na ama janga (la Corona) au njama za kuwakatisha tamaa.
Habari ID: 3474021 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/19
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kumepelekea taifa la Iran lipate ushindi katika kukabiliana na maadui.
Habari ID: 3474020 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/19
TEHRAN (IQNA)- Mamilioni ya wananchi wa Iran jana walijitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa rais na pia uchaguzi wa mabaraza ya Kiislamu ya miji na vijiji.
Habari ID: 3474019 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/19
Uchaguzi nchini Iran
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei alikuwa wa kwanza kutumbukiza kura yake kwenye sanduku la kupigia kura mapema leo katika kituo cha Husainiya ya Imam Khomeini (MA) mjini Tehran.
Habari ID: 3474017 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/18
TEHRAN (IQNA)- Mamilioni ya Wairani wakiongozwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei tangu mapema leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kuchagua Rais wa 13 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wawakilishi wao katika Mabaraza ya Kiislamu ya Miji na Vijiji.
Habari ID: 3474016 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa wanachi wa Iran wataonyesha fahari na heshima ya taifa kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa rais utakaofanyika Ijumaa ijayo.
Habari ID: 3474012 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/17
TEHRAN (IQNA)- Rais nchini Syria Rais Bashar al Assad kwa mara nyingine amechaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo na baada ya kutangazwa ushindi wake, wananchi wa maeneo mbalimbali ya Syria wamemiminika mitaani kusherehekea ushindi.
Habari ID: 3473953 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/28
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wananchi wa Iran wapuuze ushawishi wa watu wanaojaribu kuwakatisha tamaa na wanaowaambia hakuna faida kushiriki katika uchaguzi .
Habari ID: 3473952 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/27
TEHRAN (IQNA)- Rais Bashar al Assad wa Syria amejiunga na mamillioni ya Wasyria katika kupiga kura katika uchaguzi wa rais nchini humo.
Habari ID: 3473948 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/26
TEHRAN (IQNA) - Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetaja majina ya wagombea wa urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni humu nchini.
Habari ID: 3473945 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/25
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ameashiria hotuba yake ya hivi karibuni kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA baina ya Iran na nchi tano za kundi la 5+1 na kusema kuwa: Iwapo upande mwingine utatekeleza makubaliano hayo, Iran pia itatekeleza vipengee vyake, na mara hii Jamhuri ya Kiislamu haitatosheka kwa maneno na ahadi tupu.
Habari ID: 3473659 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/17
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Algeria wameunga mkono mabadiliko ya katiba katika kura ya maoni iliyofanyika Novemba mosi nchini humo.
Habari ID: 3473321 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02
TEHRAN (IQNA) - Saad Hariri ameteuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon na sasa ametakiwa kuunda serikali yake ya nne, mwaka mmoja baada ya kuachia ngazi.
Habari ID: 3473287 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/23
TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa Syria leo wanapiga kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa bunge la kitaifa.
Habari ID: 3472979 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/19
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA) - Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran, amesema, kaulimbiu ya "Mauti kwa Marekani" imetimia kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa Majlisi ya 11 ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na uchaguzi mdogo wa Baraza la 5 la Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi.
Habari ID: 3472492 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/21
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo asubuhi, amepiga kura katika dakika za awali kabisa za kuanza zoezi la upigaji kura za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uchaguzi mdogo wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu.
Habari ID: 3472491 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/21
Vyombo vya habari vya Kiarabu vyakiri
TEHRAN (IQNA)-Vyombo vya habari vya Kiarabu vimekiri kushiriki kwa wingi Wairani hasa wanawake katika uchaguzi wa rais wa awamu ya 12 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470986 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/20
IQNA:Matokeo ya uchaguzi wa bunge Uholanzi yanaonyesha mwanasiasa mwenye misimamo mikali na chuki dhidi ya Uislamu amepata pigo.
Habari ID: 3470898 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/16
Mwanamke Mwislamu Mmarekani, Ilhan Omar ameweka historia kwa kuchaguliwa kugombea kiti katika Bunge la Wilaya ya 60B jimbo la Minnesota nchini Marekani.
Habari ID: 3470525 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/16