Shahidi Imam Khamenei

IQNA

IQNA – Mtaalamu na msomaji maarufu wa Qur’ani wa Iran amemuelezea Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, kama kielelezo cha maisha ya Qur’ani katika zama zetu za kisasa.
Habari ID: 3482513   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/20

IQNA – Washindi wa duru ya kwanza ya Tuzo ya Kimataifa ya Ushairi ya “Imamu Shahidi” walitangazwa na kutunukiwa katika hafla iliyofanyika mjini Tehran siku ya Jumanne.
Habari ID: 3482491   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/15

IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, ameeleza shukrani zake za dhati kwa mahudhurio “ya kustaajabisha, yenye kuvunja nguvu za adui na ya kihistoria” katika mazishi ya Kiongozi Shahidi, akisisitiza kuwa malipo ya kisasi dhidi ya “watenda jinai wauaji waliodhalilika” ni jambo la yakini.
Habari ID: 3482472   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/11

IQNA – Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya kupigania ukombozi wa Palestina, amesema kuwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, alikuwa na mapenzi ya dhati kwa Palestina.
Habari ID: 3482445   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/05

IQNA-Viongozi waandamizi wa Iran, marais na wakuu wa nchi, pamoja na wageni mashuhuri na wajumbe wa ngazi za juu kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamefika Tehran kutoa heshima zao kwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Habari ID: 3482437   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/04

IQNA – Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mohammad Reza Aref, ametangaza kuwa ujio wa maafisa na wajumbe wa kigeni wanaotarajiwa kushiriki katika hafla ya k mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, utaanza rasmi siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3482423   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/30

IQNA – Kufuatia kuanza kwa uratibu mpana kati ya taasisi za Iraq na Iran, Iraq inajitayarisha kuandaa misafara ya mazishi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Shahidi Ayatullah Seyed Ali Khamenei katika miji mitakatifu ya Najaf na Karbala.
Habari ID: 3482419   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/29

IQNA – Msafara wa mazishi ya Kiongoz Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei utafanyika mjini Tehran siku ya Jumamosi na Jumapili.
Habari ID: 3482411   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/28