Hali ya Al Quds na Palestina
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani (IUMS) umetoa wito kwa Waislamu duniani kote na viongozi wa mataifa ya Kiislamu kuutetea Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Al Quds (Jerusalem) ambao unakabiliwa na hujuma ya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3475318 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31
Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman siku ya Jumamosi alitangaza kuwa nchi yake haitaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel huku akitoa kutoa wito wa kutatuliwa kwa haki suala la Palestina.
Habari ID: 3475308 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28
Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Alkhamisi tarehe 26 Mei, 2022, Bunge la Iraq lilipasisha kwa kauli moja sheria ya kutambua kuwa ni uhalifu, hatua yoyote ya kuweka uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475306 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28
Harakati ya Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa misaada yake na kwamba, haikusita hata kidogo kuisaidia Lebanon.
Habari ID: 3475296 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/26
Jinai za kivita za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mashirika kadhaa ya kutetea haki za Wa palestina yameikabidhi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) maelezo ya kina kuhusu jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu zilizofanywa na utawala wa Israel wakati wa hujuma zake za kijeshi dhidi ya Wa palestina katika Ukanda wa Gaza mwaka 2021.
Habari ID: 3475294 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25
Njama za Wazayuni dhidi ya al Quds
TEHRAN (IQNA) - Taasisi kadhaa za Kiislamu mjini al-Quds (Jerusalem) zimeonya dhidi ya kuzuka kwa vita vya kidini kama uamuzi wa mahakama ya Israel ambao unaruhusu Wayahudi kufanya ibada ndani ya eneo la Msikiti wa Al-Aqsa.
Habari ID: 3475289 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/24
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Bunge la Misri ameulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutekeleza "njama mbovu" za kuangamiza utambulisho wa Kiarabu na Kiislamu wa mji wa Quds (Jerusalem) na kuvuruga maeneo yake matakatifu ya kidini.
Habari ID: 3475281 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22
Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameashiria mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu na kusema mapatano kama hayo yatatoa mwanya kwa utawala wa Tel Aviv kujipenyeza zaidi Asia Magharibi.
Habari ID: 3475269 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/20
Ukombozi wa Palestina
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi amesisitiza kuwa, Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) ni eneo la kidini na ni la Kiislamu kikamilifu na kwamba, wananchi wa Palestina hawataruhusu kutekelezwa njama chafu za kuliyahudisha eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3475263 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/18
TEHRAN (IQNA)- Miaka 74 iliyopita, utawala bandia wa Israel ulitangaza uwepo wake baada ya kufanya mauaji makubwa ya umati dhidi ya Wa palestina . Siku hii inajulikana kama Siku ya Nakba.
Habari ID: 3475260 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/16
TEHRAN (IQNA)- Ushahidi wote unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umemuua kwa makusudi mwandishi wa habari wa kike na Mkristo wa televisheni ya Al-Jazeera ya Qatar Shireen Abu Akleh kwa mujibu mpango maalumu uliokuwe umeratibiwa tangu hapo awali.
Habari ID: 3475254 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetenda jinai nyingine kwa kuushambulia kinyama mkusanyiko wa kuusindikiza mwili wa shahidi Shireen Abu Akleh, mwandishi wa habari wa kanali ya Televisheni ya al-Jazeera ya Qatar.
Habari ID: 3475248 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/14
TEHRAN (IQNA)- Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema inaunga mkono kuhusishwa taasisi za kimataifa katika uchunguzi kuhusu kitendo cha jinai cha askari wa Israel cha kumuua shahidi mwandishi habari M palestina wa Kanali ya Al Jazeera Shireen Abu Akleh.
Habari ID: 3475247 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/14
TEHRAN (IQNA)- Mashirika na makundi 250 ya kutetea haki za binadamu yametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kisheria utawala haramu wa Israel kwa jinai uliyotenda ya kumuua mwandishi habari wa Televisheni ya al-Jazeera Shireen Abu Aqleh.
Habari ID: 3475245 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/13
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Amir wa Qatar
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema dhulma ya miongo kadhaa ya utawala khabithi wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina ni ukweli mchungu wa historia na pigo kwa ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu na kuongeza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataraji kwamba ulimwengu wa Kiarabu utaingia wazi wazi katika medani ya kisiasa kukabiliana na jinai hizo.
Habari ID: 3475243 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/13
TEHRAN (IQNA)-Mapema jana Jumatano, mwandishi wa habari ya televisheni ya al Jazeera, Shireen Abu Akleh, 51, alipigwa risasi na kuuliwa shahidi kikatili na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati akiwa kwenye kazi yake ya kuripoti uvamizi wa kijeshi wa jeshi la Israel katika kambi ya wakimbizi wa Palestina ya Jenin.
Habari ID: 3475240 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/12
TEHRAN (IQNA)- Askari wa jeshi katili lla utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua kigaidi mwandishi mashuhuri na nguli wa televisheni ya al Jazeera, Shirin Abu Akleh alipokuwa katikati ya kazi zake kwenye kambi ya Jenin.
Habari ID: 3475234 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/11
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Russia wametangaza uungaji mkono jitihada za ukombozi wa taifa linalodhulumiwa la Palestina ambalo linakoloniwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475220 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07
TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Kizayuni wa Israel umezindua mpango haramu wa kujenga nyumba mpya zipatazo elfu nne katika eneo la Ukingo wa Magharibi, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475219 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07
TEHRAN (IQNA)-Wazayuni wasiopungua watatu wameangamizwa katika oparesheni za ulipizaji kisasi za Wa palestina waliojitolea kufa shahidi.
Habari ID: 3475213 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06