TEHRAN (IQNA) - Mbunge wa Palestina anasema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuiba ardhi ya Wa palestina huko Quds (Jerusalem) haibadilishi ukweli wa mambo.
Habari ID: 3475005 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/04
TEHRAN (IQNA)- Vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel jana Jumanne vimewapiga risasi na kuwajeruhi waandishi wawili wa habari wa Ki palestina katika maandamano ya amani yaliyoandaliwa katika mji wa Al-Khalil (Hebron) unaokaliwa kwa mabavu na utawa huo katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474997 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/02
TEHRAN (IQNA)- Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimekosoa vikwazo vya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) dhidi ya Russia wakati shirikisho hilo linapuuza jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema hiyo ni ishara ya wazi ya undumakuwili.
Habari ID: 3474995 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/02
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya mateka wa Ki palestina katika magereza ya utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuanza harakati ya Intifadha au mwamako wa wafungwa wa Ki palestina na kutoa wito wa kuungwa mkono harakati hiyo.
Habari ID: 3474986 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/28
TEHRAN (IQNA)- Harakati za Kiislamu za kupigania ukombozi wa Palestina, Hamas na Jihad Islami zimesisitiza ulazima wa kuafikiana na Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) kuhusu mpango wa pamoja wa kitaifa wa kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel unaozikoloni ardhi za Palestina.
Habari ID: 3474978 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/26
TEHRAN (IQNA)-Kampuni moja ya mawakili yenye makao yake makuu London imetuma barua rasmi ya malalamiko kwa Facebook kuhusu misimamo yake dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3474964 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/23
TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Fatwa Palestina limetoa wito kwa umma kote Palestina kujitokeza kuulinda Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474952 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/20
TEHRAN (IQNA)- Makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina yamekosoa vikali kitendo cha Australia cha kuitambua harakati ya muqawama ya HAMAS kuwa ni kundi la kigaidi.
Habari ID: 3474946 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/19
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo kali kwa utawala haramu wa Israel baada ya walowezi wake wa Kizayuni kuwashambulia tena Wa palestina katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474925 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/13
TEHRAN (IQNA)- Mwanasheria mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel aumeutaja utawala huo kuwa ni "utawala wa kibaguzi au apathaidi".
Habari ID: 3474922 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12
TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imetangaza kusimamisha utambuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na ushirikiano wa kiusalama na utawala huo. Bunge Kuu la Palestina pia limetangaza kuwa, limesimamisha uratibu wowote wa kiusalama na utawala wa Kizayuni kwa njia mbalimbali.
Habari ID: 3474912 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/10
Rais wa Iran apokea vitambulisho vya balozi wa Palestina, asema
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepokea vitambulisho vya balozi mpya wa Palestina mjini Tehran na kusisitiza kuwa: "Umoja na mashikamano wa makundi na mirengo yote ya Palestina ni siri ya kupata ushindi katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel."
Habari ID: 3474907 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/08
TEHRAN (IQNA)- Harakati za muqawama wa Palestina za Hamas na Jihad al Islami zimeushukuru Umoja wa Afrika (AU) kwa kuutimua utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye umoja huo na kusema kuwa, hatua hiyo ni pigo kwa zile nchi zinazotangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo katili.
Habari ID: 3474902 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/07
TEHRAN (IQNA)- Viongozi na makundi ya ukombozi wa Palestina wameutaka Umoja wa Afrika (AU) kufikiria upya uamuzi wa mwaka jana wa kuipa Israel hadhi ya kuwa mwangalizi katika umoja huo.
Habari ID: 3474894 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05
TEHRAN (IQNA)- Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeutuhumu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala wa baguzi wa rangi wa apartheid. Amnesty Internation inakuwa taasisi ya karibuni zaidi ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu kuitangaza Israel kuwa ni utawala wa apartheid.
Habari ID: 3474881 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/02
Katika safari ya rais wa Israel nchini UAE
TEHRAN (IQNA)- Rais Isaac Herzog wa utawala haramu wa Israel jana alifika Abu Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambapo alifanya mazungumzo mtawala wa Abu Dhabi Mohammad bin Zayed.
Habari ID: 3474872 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/31
TEHRAN (IQNA)-Msomi maarufu wa Misri Sheikh Salah Abdul Fattah al Khaledi, msomi mwandamizi wa Palestina katika uga wa sayansi za Qurani na tafsiri amefariki dunia.
Habari ID: 3474866 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29
TEHRAN (IQNA)- Askari 100 wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) katika eneo la Palestina ambalo unalikalia kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3474847 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji maarufu wa tennis kutoka Kuwait amepongezwa kwa hatua yake ya kujiondoa katika shindano moja la kimataifa baada ya kubainika kuwa alitakuwa ashindane na raia wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474836 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ahmad El Tayyib, Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amefanya mazungumzo ya simu na Mfalme Abdallah wa Pili wa Jordan.
Habari ID: 3474829 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/20