TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Taibah nchini Saudi Arabia kimefanikiwa kutumia teknolojia ya nano kuimarisha mfumo wa vipaza sauti katika Al-Masjid an-Nabawi (Msikiti wa Mtume SAW) mjini humo.
Habari ID: 3471249 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/05
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Myanmar isitishe ukandamizaji wa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
Habari ID: 3471248 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/05
TEHRAN (IQNA)-Idhaa ya Qur'ani nchini Tunisia imesitisha matangazo yake baada ya serikali ya nchi hiyo kuipiga marufuku kutokana na kueneza itikadi za ukufurishaji.
Habari ID: 3471247 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/04
TEHRAN (IQNA)-Mzee mwenye umri wa miaka 65 mjini Jeddah, Saudi Arabia, amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamlifu kwa muda wa miezi 10.
Habari ID: 3471246 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/03
TEHRAN (IQNA)-Tamasha la 'Waumini wa Qur'ani Tukufu na Ukombozi wa Msikiti wa Al Aqsa' limefanyika katika Msikiti wa Ammar ibn Yasir katika eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471245 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/03
TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa pili wa kimataifa wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama au mapambano ulianza hapo jana Jumatano katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut kwa kaulimbiu ya "Umoja kwa ajili ya Palestina-Israel inaelekea kutoweka".
Habari ID: 3471244 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe katika Mkutano wa Pili Muungano wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama unaofanyika huko Lebanon akiagiza kudumishwa mapambano ya aina mbalimbali dhidi ya utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa wale wote wanaohisi kubeba dhima na wajibu huo mkubwa.
Habari ID: 3471242 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/01
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Marekani wamelaani hujuma ya kigaidi iliyojiri Jumanne mjini New York katika mtaa wa Manhattan na kupelekea watu 8 kupoteza maisha.
Habari ID: 3471241 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/01
TEHRAN (IQNA)-Itikadi ya Uwahhabi imetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la ugaidi na chuki dhidi ya Uislamu Nigeria.
Habari ID: 3471240 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/31
TEHRAN (IQNA)-Kikao cha Qur'ani Tukufu na vijana Waislamu duniani kinafanyika katika mji wa Shiraz kusini mwa Iran.
Habari ID: 3471239 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/31
TEHRAN (IQNA)-Wafanyaziara milioni tatu Wairani wanatazamiwa kufika katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471238 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/30
TEHRAN (IQNA)-Afisa wa Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (ICRS) amesema kuna takribani wakimbizi zaidi ya milioni moja Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbia mauaji ya kimbari Myanmar na kuingia nchini Bangladesh.
Habari ID: 3471237 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/29
TEHRAN (IQNA)-Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon inaandaa awamu ya 20 ya mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471236 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/28
TEHRAN (IQNA)-Uturuki imeanza kusambaza nakala 21,500 za Qur'ani katika nchi 15 barani Afrika.
Habari ID: 3471233 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/28
TEHRAN- (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuvunjia heshima msikiti ambao bado unajengwa katika mji wa Frankfurt, Ujerumani Jumanne.
Habari ID: 3471232 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/27
TEHRAN (IQNA)-Klipu ya video imeenea katika mitandao ya kijamii ikumuonyesha mchezaji wa zamani wa Timu ya Soka ya Arsenal ya Uingereza, Vassiriki Abou Diaby akisoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471231 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/26
Ayatullah Sayyid Ali Khamenei
TEHRAN (IQNA)-Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo na nguvu za kiulinzi za Iran si kitu cha kujadiliwa kabisa kama ambavyo zana zozote za ulinzi na kitu chochote kile kinacholeta nguvu za taifa la Iran si kitu cha kufanyiwa muamala wa aina yoyote ile.
Habari ID: 3471230 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/25
TEHRAN (IQNA)-Japan inaibuka kama nchi yenye watalii wengi Waislamu kutokana na huduma inazotoa kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu hasa chakula halali.
Habari ID: 3471228 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/23
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Somalia hivi karibuni wameshiriki katika khitma ya Qur’ani Tukufu ya mwalimu maarufu wa Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3471227 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/22
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Imelaani hujuma za kigaidi zilizolengamisikiti miwili katika miji ya Kabul na Ghor nchini Afghanistan siku ya Ijumaa na kuuawa waumini zaidi ya 80.
Habari ID: 3471226 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/22