IQNA-Iran imechagua wanawake watakaoiwakilisha nchi hii katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yatakayofanyika maeneo mbali mbali duniani mwaka huu.
Habari ID: 3470863 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kisa kilichojaa machungu na kuzijeruhi nyoyo za watu kutokana na dhulma wanayofanyiwa raia wa Palestina wenye uvumilivu, subira na mapambano, kinamgusa kila mwanadamu mpigania uhuru, haki na uadilifu kote duniani.
Habari ID: 3470862 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/21
IQNA: Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Palestina wakati nchi zingine zimeegemea upande wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3470861 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/21
IQNA-Kansela wa Ujerumani ametoa mwito wa kushirikishwa Russia na Waislamu katika kukabiliana na jinamizi la ugaidi.
Habari ID: 3470860 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/20
IQNA-Maonyesho ya kwanza ya mavazi ya Hijabu yamefanyika mjini London na kuwavutia mamia ya wanawake waliokuwa wakitafuta mitindo bora yenye kuzingatia misingi ya Kiislamu.
Habari ID: 3470858 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19
IQNA: Qur'ani Tukufu ndicho kitabu kilichouzwa kwa wingi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu, Casablanca, Morocco.
Habari ID: 3470857 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19
IQNA: Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina utafanyika tarehe 21 na 22 Februari katika mji mkuu wa Iran, Tehran.
Habari ID: 3470856 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19
IQNA: Washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika mjini Tehran Ijumaa.
Habari ID: 3470855 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/18
Sayyid Hassan Nasrallah
IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo hauuogopi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wala shetani mkuu Marekani.
Habari ID: 3470854 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/17
IQNA-Idadi ya makundi yanayowapinga Waislamu yammeongezeka karibu mara tatu Marekani mwaka 2016 baada ya kuanza kampeni za urais za Donald Trump.
Habari ID: 3470853 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/17
IQNA: Waislamu nchini Marekani wameingiwa na hofu Zaidi baada ya mabango yenye maandishi ya "Marekani isiyo na Waislamu'' kupatikana Jumatatu katika Chuo Kikuu cha Rutgers mjini New Jersey siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3470850 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/15
IQNA: Harakati ya Kiislamu Nigeria (INM) imetahadharisha kuwa kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky huenda akapoteza uwezo wa kuona na kuwa kipofu akiwa kizuizini.
Habari ID: 3470849 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/14
Ayatullah Muhsin Araki
IQNA-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema: "Maadui wa Uislamu hasa Marekani na Utawala wa Kizayuni wa Israel wanatumia uwezo wao wote kuibua mifarakano katika Ulimwengu wa Kiislamu."
Habari ID: 3470848 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/13
IQNA: Iran imealika nchi 70 kushiriki katika Mashindano ya Tano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3470846 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/12
IQNA: Mashindano ya Qur'ani yamefanyika nchini Tanzania wiki hii kuchagua wawakilishi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki katika mashindano yajayo ya kimataifa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470845 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na Waziri Mkuu wa Sweden
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, matatizo yote ya eneo la Mashariki ya Kati ni uingiliaji wa baadhi ya madola makubwa ikiwemo Marekani katika masuala ya ndani ya eneo hili.
Habari ID: 3470844 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/11
IQNA-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimempongeza Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis kwa msimamo wake wa kulaani mauaji na ukandamizaji wa Waislamu nchini Myanmar.
Habari ID: 3470843 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/11
Rais Hassan Rouhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran kamwe hawajaondoka katika njia na harakati ya kuyaunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu na kutimiza malengo ya Imam Ruhullah Khomeini na Kiongozi wa sasa wa Mapinduzi, Ayatullah Ali Khamenei.
Habari ID: 3470842 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/10
IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni moja ya nchi zenye nafasi kubwa katika matukio ya eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3470841 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/09
IQNA: Mahakama ya Rufaa katika jimbo la Lagos nchini Nigeria imetoa hujumu ya kupinga amri ya serikali ya jimbo hilo kupiga marufuku vazi la Hijabu kuvaliwa na washichana Waislamu shuleni.
Habari ID: 3470840 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/08