Maadili ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Qatar imetayarisha maandishi makubwa ya hadithi za Mtume Muhammad (SAW) yatakayowekwa maeneo muhimu wakati wa Kombe la Soka la Dunia la 2022.
Habari ID: 3476017 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01
Taazia
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu kutoka Misri Sheikh Youssef al-Qaradawi amefariki dunia siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475845 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26
Utawala wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Qatar imepinga ombi la utawala haramu wa Israel la kuanzishwa ubalozi mdogo wa muda wa Israel mjini Doha katika kipindi cha kufanyika fainali za soka za Kombe la Dunia la FIFA 2022.
Habari ID: 3475777 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mchujo wa duru ya 27 ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani mwaka 2022 huko Doha, Qatar, imehudhuriwa na washindani wapatao 400.
Habari ID: 3475774 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13
Mashindano ya Qurani
TEHRAN (IQNA) - Washiriki 2,130 wa kiume na wa kike wamekamilisha usajili wao kwa Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim ya Qatar, kulingana na kamati ya maandalizi.
Habari ID: 3475752 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kampeni ya ‘Kujitolea kwa ajili ya Gaza’ imezinduliwa na Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Qatar.
Habari ID: 3475631 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16
Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Mkurugenzi kituo kimoja cha televisheni ya Qur’ani nchini Qatar ametangaza kukomeshwa kwa programu za kituo cha Runinga.
Habari ID: 3475529 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/23
Maambukizi ya Covid-19
TEHRAN (IQNA) - Uvaaji wa barakoa ndani ya misikiti itakuwa ya lazima nchini Qatar kuanzia Alhamisi.
Habari ID: 3475470 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/07
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, safari za hivi karibuni ya Rais Bashar al-Assad wa Syria na Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al-Thani nchini Iran zilikuwa za kimkakati na muhimu.
Habari ID: 3475244 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/13
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Amir wa Qatar
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema dhulma ya miongo kadhaa ya utawala khabithi wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina ni ukweli mchungu wa historia na pigo kwa ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu na kuongeza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataraji kwamba ulimwengu wa Kiarabu utaingia wazi wazi katika medani ya kisiasa kukabiliana na jinai hizo.
Habari ID: 3475243 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/13
TEHRAN (IQNA) – Maktaba ya Kitaifa ya Qatar (QNL) inapanga kuandaa matukio kadhaa ya mtandaoni yaliyotolewa kwa ajili ya utafiti wa Misahafu.
Habari ID: 3475086 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/29
TEHRAN (IQNA)- Hatua ya mwisho ya mashindano ya 5 ya Qur'ani ya Katara ya Qatar itafanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani (Aprili).
Habari ID: 3474998 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/02
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar leo zimetiliana saini mikataba 14 ya uushirikiano mjini Doha katika nyanja mbalimba katika hafla iliyohudhuriwa na Rais Ebrahim Raisi na Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani.
Habari ID: 3474957 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/21
TEHRAN (IQNA)- Kuingia msikitini ukiwa unafahamu kuwa unaugua COVID-19 ni dhambi , amesema msomi wa Kiislamu huku akiwataka waumini wazingatia kanuni za kuzuia kuenea COVID-19.
Habari ID: 3474850 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imesema wanafunzi wa kiume wanaweza kurejea tena katika vituo vya kufunza Qur'ani Tukufu misikitini kuanzia Novemba Mosi.
Habari ID: 3474492 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imetangaza kuwa, Sala ya Istisqa yaani Swala ya Kuomba Mvua itaswaliwa nchini humo.
Habari ID: 3474479 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar imefuta kanuni ya kutokaribiana na kutogusana (social distancing) misikitini wakati wa Sala sambamba na kufungua tena maeneo ya kutawadha.
Habari ID: 3474390 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza, raia wa Qatar wamepiga kura Jumamosi Oktoba 3 katika uchaguzi wa bunge, ikiwa ni ishara ya kuendelea marekebisho ya kisiasa kwa lengo la kuwashirikisha wananchi katika utawala atika taifa hilo dogo lenye utajiri wa mafuta katika Ghuba ya Uajemi..
Habari ID: 3474377 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/03
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake itatoa mchango wa dola milioni 500 kwa ajili ya ujenzi mpya wa Ukanda wa Ghaza baada ya vita vya hivi karibuni vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina aktika eneo hilo.
Habari ID: 3473950 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/27
TEHRAN (IQNA)- Qarii Mtanzania ameibuka mshindi katika duru ya nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Taasisi ya Kijiji cha Utamaduni (Katara) nchini Qatar.
Habari ID: 3473896 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/10