iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Mahmoud Shahat Anwar, qarii maarufu wa Misri amehudhuria sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW maarufu kama Maulidi ambapo na kusoma aya za Qur'ani.
Habari ID: 3473337    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/07

TEHRAN (IQNA) – Kwa mnasaba wa maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Milad-un-Nabii na wiki ya Umoja wa Waislamu, qarii maarufu wa Iran Mehdi Gholamnejad amesema aya ya 29 ya Surah al Fath akiwa na mtoto wake.
Habari ID: 3473332    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/05

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe marais wa nchi za Kiislamu akiwapongeza kwa mnasaba wa kuadhimisha Maulidi na siku ya kuzaliwa Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu na Nabii wa rehma, upendo na amani, Muhammad SAW.
Habari ID: 3473324    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/03

TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm wameshiriki katika maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuzaliwa (Maulid) Mtume Muhammad SAW na pia uzawa wa mjukuu wake, Imam Jaafar Swadiq AS.
Habari ID: 3473322    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei atahutubu kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuzaliwa (Maulid) Mtume Muhammad SAW na pia uzawa wa mjukuu wake, Imam Jaafar Swadiq AS.
Habari ID: 3473318    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/01

TEHRAN (IQNA)- Mfunguo Sita Rabiul Awwal ni mwezi ambao Waislamu kote duniani wanashereheka siku aliyozaliwa Mtume Muhammad SAW, siku ambayo ni maarufu kama Maulidi.
Habari ID: 3473314    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/31

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika kwa njia ya intaneti na kujadili ushirikiano wakati wa maafa kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3 kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume Muhammad SAW na Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3473231    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/04

TEHRAN (IQNA) – Makumi ya maelfu ya watu wa Yemen wameshiriki katika sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad SAW katika miji mbali mbali ya nchi hiyo ambayo ingali inakabiliwa na hujuma kijeshi ya utawala dhalimu wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3472208    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/10

TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wageni 20,000 kutoka kote duniani wanahudhuria sherehe za Maulid ya Mtume SAW inayofanyika katika Kisiwa cha Lamu katika Pwani ya Kenya.
Habari ID: 3471307    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/12

TEHRAN (IQNA)-Sheikhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmed el-Tayeb amealikwa kuhudhuria Mkutanowa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utakaofanyika wiki ijayo mjini Tehran, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471286    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/28

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Bosnia Herzegovina wanaendelea na sherehe za Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471276    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24

TEHRAN (IQNA)-Mashindano kadhaa ya Qur’ani na Hadithi yanafanyika kote Algeria kwa munasaba wa Maulidi ya Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad al Mustafa SAW.
Habari ID: 3471275    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24

IQNA: Waislamu nchini Canada katika eneo la Peel, mkoa wa Ontario wameanza sherehe za Maulidi ya Mtume Muhammad SAW, Mtume wa Rehema kwa walimwengu.
Habari ID: 3470731    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10