iqna

IQNA

Maonyesho ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yamefungua milango yake kwa watazamaji leo Jumatano hapa mjini Tehran.
Habari ID: 1422668    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/25

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: kushikamana na Qur'ani ni jambo ambalo litauletea Umma wa Kiislamu mafanikio na heshima.
Habari ID: 1414310    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/03

Iwapo Waislamu wa maeneo yote duniani wataweka kando migongano yao na kushikamana na Kamba ya Allah, yaani Qur'ani Tukufu, basi ulimwengu wa Kiislamu utashuhudia ustawi mkubwa na wa kasi katika nyanja zote.
Habari ID: 1412786    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/31

Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yameanza siku ya Jumatatu mjini Tehran katika mkesha wa siku kuu ya kukumbuka wakati Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad Mustafa SAW alipobaathiwa yaani kupewa Utume na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 1411469    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/27

Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge laa Iran amesema kuwa uzoefu wa miaka mingi iliyopita umeonesha kwamba ugaidi na ubeberu ni ncha mbili za mkasi unaotishia Umma wa Kiislamu na kwamba watu wa Iraq, Syria, Afghanistan na Pakistan wamehisi zaidi machungu ya mkasi huo kuliki watu wa maeneo mengine.
Habari ID: 1377233    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19

Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kudumisha umoja ili kuweza kukabiliana na vitisho visivyo na kifani.
Habari ID: 1376952    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/18