Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maadui wamefeli katika njama ya maadui wa Iran ya kuwachoche baadhi ya watu kufanya maandamano mitaani na kuyapa jina la "Majira ya Joto Kali".
Habari ID: 3471769 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa umoja, mshikamano na kauli moja ya ulimwengu wa Kiislamu vitazishinda njama za maadui.
Habari ID: 3471752 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/26
Kiongozi wa Hamas
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amehutubu katika Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran na kusema: "Utawala wa Kizayuni ni adui mkuu wa Umma wa Kiislamu."
Habari ID: 3471750 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/24
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madehehbu za Kiislamu amesema wanazuoni, wanaharakati wa kisiasa na wasomi kutoka nchi 100 wamealikwa kushiriki katika Kongamano la 32 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu ambalo limepangwa kufanyika mjini Tehran.
Habari ID: 3471743 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/17
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewapongeza wanamichezo wa kike Wa iran i ambao wanashiriki katika michezo ya kimataifa wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471741 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/14
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kudidimia nguvu na uwezo wa Marekani ni ukweli ambao wataalamu duniani wameafiki.
Habari ID: 3471727 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/03
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, majimui kubwa ya vijana wa nchi na taifa kubwa la Iran litaushinda wenzo wa mwisho wa adui yaani vikwazo na kutoa kipigo kingine dhidi ya Marekani.
Habari ID: 3471701 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/04
TEHRAN (IQNA)- Qarii (msomaji wa Qur'ani) ameibuka mshindi katika Mashindano ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Croatia yaliyomalizika Jumamosi.
Habari ID: 3471697 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/30
Rais Rouhani akihutubu katika Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya lran amesema Marekani ilikiuka sheria kinyume na misingi na sheria za kimataifa kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyoidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3471691 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/26
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullha Sayyed Ali Khamenei ametuma salamu za rambirambi kwa familia za mashahidi wa tukio chungu la hujuma ya kigaidi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran leo asubuhi.
Habari ID: 3471686 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/22
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hitajio muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu hii leo ni ukuruba zaidi na mshikamano wa nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3471662 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/07
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria matamashi na lugha zisizo na adabu za viongozi wa Marekani kuhusiana na vikwazo, vita na mazungumzo na Iran kusema kuwa, tunasisitiza kwamba, hakutatokea vita na hatutafanya mazungumzo.
Habari ID: 3471628 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/13
TEHRAN (IQNA) Imran Khan, Mkuu wa chama cha Tehreek-e-Insaf (PTI) cha nchini Pakistan na kilichoshinda uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo amesisitiza kuwa chama chache kinataka kustawisha uhusiano mwema na maj iran i zake ikiwemo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471609 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/27
TEHRAN (IQNA) Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itashirikiana na Chuo Kikuu cha Umma nchini Kenya ambacho ni chuo kikuu cha kwanza cha Kiislamu katika nchi hiyo.
Habari ID: 3471604 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/23
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) –Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa misikiti miwili mitukufu zaidi katika Uislamu ni ya Waislamu wote duniani.
Habari ID: 3471596 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/16
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa itatuma msafara wa Qur'ani Tukufu, katika Ibada ya Hija mwaka huu nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3471591 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/12
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Senegal kimetangaza utayarifu wake katika kuisaidia nchi hiyo kuimarisha shule au Madrassah za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471589 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/10
TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Kiislamu la Algeria limepongeza fatua iliyotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Ali Khamenei inayoharamisha kuwavunjia heshima masahaba wa Mtume SAW na ulazima wa kulinda heshima ya wake wa mtukufu huyo.
Habari ID: 3471574 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na nchi kadhaa zenye silaha za kisasa kwa ajili ya kuwanyang'anya watu wanaodhulumiwa wa Yemen bandari ya al Hudaydah kuwa ni mfano mwingine wa uhabithi wa kidhati wa madhalimu na mabeberu wa kimataifa.
Habari ID: 3471567 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/21
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Elimu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa karibu wanafunzi milioni moja nchini wamehifadhi Qur’ani.
Habari ID: 3471566 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/20