iqna

IQNA

herat
Ugaidi
TEHRAN (IQNA) - Katika ujumbe wake, Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar kimelaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini katika msikiti mmoja ulioko katika mji wa Herat nchini Afghanistan na kulitaja kuwa ni kinyume na maadili ya kidini na kibinadamu.
Habari ID: 3475743    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06

TEHRAN (IQNA)- Jumamosi usiku magaidi walishambulia mtaa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Herat nchini Afghanistan ambapo watu wasiopungua saba waliuawa na wengine 10 walojeruhiwa.
Habari ID: 3474842    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

TEHRAN (IQNA)-Magaidi wametekelza hujuma dhidi ya Msikiti wa Waislamu wa amdhehebu ya Shia huko Herat, Afghanistan na kuuawa waumini 30 waliokuwa katika Sala ya Ishaa Jumanne usiku.
Habari ID: 3471098    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/02