israel - Ukurasa 23

IQNA

Palestina
TEHRAN (IQNA) – Jordan itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa kuhusu mji mtakatifu wa Al-Quds (Jerusalem) mwezi ujao.
Habari ID: 3475834   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/24

Upinzani wa Israel
TEHRAN (IQNA) - Majaji wa Algeria wamesusia mkutano wa kimataifa huko Tel Aviv, huku wakibainisha sababu ya hatua hiyo ni upinzani wao kwa mkakati wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475802   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kijana wa Kipalestina aliuawa shahidi wakati wa uvamizi wa wanajeshi katili wa Israel karibu na mji wa Jenin katika sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3475788   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15

Mapambano ya Wapalestina
TEHRAN (IQNA) – Ujumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina ( Hamas ) umefanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wa Kiislamu na Kikristo katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3475786   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina kwa kuwapiga risasi kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475782   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14

Utawala wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Qatar imepinga ombi la utawala haramu wa Israel la kuanzishwa ubalozi mdogo wa muda wa Israel mjini Doha katika kipindi cha kufanyika fainali za soka za Kombe la Dunia la FIFA 2022.
Habari ID: 3475777   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS amezungumzia ripoti ya jeshi la utawala wa Kizayuni baada ya utawala huo katili kumuua shahidi mwandishi Mpalestina, Shireen Abu Akleh na sawa na Wapalestina wote, ametaka utawala huo dhalimu upewe adhabu kali.
Habari ID: 3475745   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeulaani utawala haramu wa Israel kwa kuruhusu kuandaliwa matamasha katika Msikiti Mkuu wa Beersheba (Biʾr as-Sab).
Habari ID: 3475727   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limeua Wapalestina zaidi ya 110 na wengine wengi kujeruhiwa hadi sasa mwaka huu.
Habari ID: 3475723   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/02

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi.
Habari ID: 3475718   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01

Kujipenyeza Wazayuni
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amekosoa viikali uamuzi wa utawala wa Aal Khalifa wa kuanzisha kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi katika mji mkuu Manama na kueleza kwamba, hatua hiyo ni jinai na dhulma ya wazi dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3475711   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, utawala haramu wa Israel umewatia mbaroni zaidi ya wanawake 16,000 wa Kipalestina tangu mwaka 1967 huku mashirika ya haki yakionya kuhusu hali mbaya ya wafungwa wa kike katika jela za kuogofya za Israel.
Habari ID: 3475694   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/28

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amesisitiza uharamu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni wa Israel katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina na kubainisha kuwa hatua hiyo ni kikwazo kikubwa cha amani.
Habari ID: 3475685   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26

Kususia Israel
TEHRAN-(IQNA) - Wizara ya Biashara na Mauzo ya Nje ya Tunisia imekanusha ripoti zilizochapishwa kuhusu kuwepo kwa mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi hii na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475681   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25

Uungaji mkono Palestina
TEHRAN (IQNA) – Picha za kuunga mkono Palestina zilizoonyeshwa na mashabiki wa timu ya soka ya Zamalek ya Misri zimesambaa miongoni mwa watumiaji wa Kiarabu wa mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3475660   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/21

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Vikosi vya kijeshi vya utawala haramu wa Israel vimemuua Mpalestina mmoja katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan alipokuwa akitoka msikitini kuelekea nyumbani kwake baada ya Sala ya Alfajiri
Habari ID: 3475648   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kuendelea kupasishwa mipango ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kkwa mabavu za Palestina.
Habari ID: 3475640   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kampeni ya ‘Kujitolea kwa ajili ya Gaza’ imezinduliwa na Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Qatar.
Habari ID: 3475631   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umekiri kuwaua watoto watano Wapalestina katika hujuma yake ya hivi karibuni dhidi ya Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3475629   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mcheza soka mashuhuri wa Ufaransa Paul Pogba ameonyesha mshikamano na Wapalestina katika Ukanda wa Gaza baada ya mashambulio ya hivi karibuni ya anga ya jeshi la utawala katili wa Israel kwenye eneo hilo na kuua shahidi Wapalestina zaidi ya 45 wakiwemo watoto 19.
Habari ID: 3475621   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/14