IQNA

Maendeleo ya elimu ya Kiislamu na Qur’ani Nchini Bulgaria

Maendeleo ya elimu ya Kiislamu na Qur’ani Nchini Bulgaria

IQNA – Bulgaria inashuhudia maendeleo ya njia endelevu ya elimu ya Kiislamu na Qur’ani inayolenga kulea na kuandaa vizazi vijavyo vya jamii ya Waislamu nchini humo.
15:20 , 2026 May 17
Mashambulizi ya Marekani na Israel Dhidi ya Iran ni Ukiukaji wa Sheria na maadili ya kibinadamu, Rais Pezeshkian amwambia Papa

Mashambulizi ya Marekani na Israel Dhidi ya Iran ni Ukiukaji wa Sheria na maadili ya kibinadamu, Rais Pezeshkian amwambia Papa

IQNA – Rais wa Iran Masoud Pezeshkian katika ujumbe wake kwa Papa Leo XIV ameshukuru misimamo ya kimaadili ya kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki kuhusu mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, akiyataja kuwa ni ukiukaji wa utawala wa sheria na wa maadili ya kibinadamu.
21:06 , 2026 May 16
Mpango wa usomaji wa Qur’ani kwa wanawake wazinduliwa Msikiti wa Mtume Madina

Mpango wa usomaji wa Qur’ani kwa wanawake wazinduliwa Msikiti wa Mtume Madina

IQNA – Mpango wa usomaji wa Qur’ani umeanzishwa katika maeneo ya maombi ya wanawake katika Msikiti wa Mtume (Al Masjid An Nabawi) huko Madina.
20:49 , 2026 May 16
Kongamano la Kimataifa la “Utalii na Masuala ya Kiroho” kufanyika Tehran

Kongamano la Kimataifa la “Utalii na Masuala ya Kiroho” kufanyika Tehran

IQNA – Kongamano la Tano la Kimataifa kuhusu Utalii na Masuala ya Kiroholinatarajiwa kufanyika mjini Tehran siku ya Jumatano, tarehe 20 Mei.
20:41 , 2026 May 16
Maumivu yanayoendelea vizazi kwa vizazi Palestina

Maumivu yanayoendelea vizazi kwa vizazi Palestina

IQNA – Wakikumbuka mwaka wa Nakba Ijumaa, maafisa wakuu wa Umoja wa Mataifa wameonya kwamba mateso na uhamishaji walioupata Wapalestina tangu mwaka 1948, baada ya ardhi yao kukoliniwa na Israel, ni maumivu yanayoendelea kwa vizazi na maelfu ya kilomita.
20:27 , 2026 May 16
Mitihani ya Maandishi kwa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Misri kufanyika Juni

Mitihani ya Maandishi kwa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Misri kufanyika Juni

IQNA – Wizara ya Awqaf ya Misri imetangaza tarehe rasmi za mitihani ya maandishi kwa washiriki wanaotaka kuiwakilisha Misri katika Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu yatakayofanyika nchini humo.
14:24 , 2026 May 15
Mfululizo wa mikutano kuhusu “Qur’ani, Haqiqa na Uongozi” kuanza Ijumaa

Mfululizo wa mikutano kuhusu “Qur’ani, Haqiqa na Uongozi” kuanza Ijumaa

IQNA – Mfululizo wa mikutano ya kimataifa kuhusu mada ya “Qur’ani, Haqiqa na Uongozi” imeandaliwa na Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO), kwa lengo la kufafanua misingi ya Qur’ani Tukufu na nguzo zake katika uendeshaji wa jamii.
14:17 , 2026 May 15
Maelezo ya Mradi wa 4 wa Qur’ani wa Al‑Azhar

Maelezo ya Mradi wa 4 wa Qur’ani wa Al‑Azhar

IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al‑Azhar nchini Misri kimeatangaza kuanza kwa msimu wa nne wa mradi wa majira ya joto wa Qur’ani unaolenga kuhudumia Kitabu Kitukufu na kufundisha Neno la Wahyi kwa njia ya malezi ya kiroho.
14:13 , 2026 May 15
Ofisi ya Kuhifadhi Qur’ani yafunguliwa  rasmi Sinai, Misri

Ofisi ya Kuhifadhi Qur’ani yafunguliwa rasmi Sinai, Misri

IQNA – Ofisi ya Amal ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu imezinduliwa rasmi katika hafla maalumu iliyoandaliwa katika Mkoa wa Sinai, nchini Misri.
14:03 , 2026 May 15
Ushiriki wa UAE katika Vita vya Marekani na Israel Dhidi ya Iran ni “Haramu kabisa”

Ushiriki wa UAE katika Vita vya Marekani na Israel Dhidi ya Iran ni “Haramu kabisa”

IQNA-Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kimesema kuwa ushiriki, uwezeshaji na ushirikiano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika vita vya hivi karibuni vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani pamoja na utawala wa Israel dhidi ya Iran ni sawa na “kusaidia kambi ya ukafiri dhidi ya ndugu Waislamu” na kwa hivyo ni “haramu kabisa.”
15:51 , 2026 May 14
Dunia ya Soka yamuunga komno Lamine Yamal baada ya kupeperusha bendera ya Palestina

Dunia ya Soka yamuunga komno Lamine Yamal baada ya kupeperusha bendera ya Palestina

IQNA – Uamuzi wa nyota wa soka wa Hispania, Lamine Yamal, kupeperusha bendera ya Palestina wakati wa gwaride la ushindi wa Barcelona katika La Liga umeibua wimbi kubwa la uungwaji mkono duniani.
21:27 , 2026 May 13
Qari maarufu wa Iran Ustadh Hamed Shakernejad akutana na balozi wa Hispania Tehran

Qari maarufu wa Iran Ustadh Hamed Shakernejad akutana na balozi wa Hispania Tehran

IQNA – Balozi wa Hispania nchini Iran amekutana na qari mashuhuri wa Qur’ani Tukufu, Hamed Shakernejad, mjini Tehran na kulaani uchokozi wa hivi karibuni uliofanywa dhidi ya Iran.
21:19 , 2026 May 13
Papa amtunuku Balozi wa Iran Vatican nshani ya juu ya kidiplomasia

Papa amtunuku Balozi wa Iran Vatican nshani ya juu ya kidiplomasia

IQNA – Papa Leo XIV amemtunuku Hujjatul‑Islam Mohammad Hossein Mokhtari, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Vatican, nishani ya juu zaidi ya kidiplomasia ya Vatican.
21:11 , 2026 May 13
Misahafu 1,500 iliyosambazwa bila kibali yakusanywa Cairo

Misahafu 1,500 iliyosambazwa bila kibali yakusanywa Cairo

CAIRO – Vikosi vya usalama jijini Cairo, Misri, vimefunga duka la vitabu lililokuwa linafanya kazi bila kibali katika eneo la Darb al‑Ahmar baada ya kubainika kuwa lilikuwa likisambaza na kuuza nakala za Qur’ani Tukufu (Misahafu) bila kupata vibali vinavyotakiwa kisheria.
20:46 , 2026 May 13
Sauti | Tilawa ya Hamidreza Ahmadi Vafa kutoka Sura Al-An’am

Sauti | Tilawa ya Hamidreza Ahmadi Vafa kutoka Sura Al-An’am

Tilawa ya Hamidreza Ahmadi Vafa, qari wa kimataifa wa Qur'ani Tukufu, kutoka aya za 160 hadi 165 za Sura Al-An’am, pamoja na aya za Sura An-Nasr, iliyotekelezwa katika mahfali wa Qurani katika Haram Tukufu ya Imamu Ridha (AS), inasambazwa hapa wa wafuatiliaji wa tovuti ya IQNA.
15:43 , 2026 May 12
11 12 13 14