IQNA

12:32 - October 22, 2020
Habari ID: 3473283

Misikiti ya Gaza yasafishwa kwa dawa za kuua virusi

Misikiti katika eneo la Ukanda wa Ghaza katika ardhi za Palestina imesafishwa kwa dawa za kuua virusi kabla ya kufunguliwa baada ya kufungwa kwa miezi miwili ili kuzuia kuenea kirusi cha corona.

 
 
captcha