iqna

IQNA

IQNA – Watu wa Yemen katika mkoa wa Saada wameshiriki katika maandamano ya mamilioni ya watu Ijumaa, wakionesha mshikamano wao na watu wanaodhulumiwa Palestina hasa katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3481124    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/23

IQNA – Mufti Mkuu wa India amewahimiza maimamu wa misikiti mbalimbali nchini humo kuandaa dua maalumu na saumu kwa nia ya kuwasaidia Waislamu wa Gaza.
Habari ID: 3481070    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/11

IQNA – Katika Ukanda wa Gaza uliokumbwa na vita, dada watatu wa Kipalestina wamekamilisha kuhifadhi Qur’ani Tukufu yote, licha ya kuvumilia mashambulizi ya kijeshi ya Kizayuni, uhamisho wa kulazimishwa, na njaa kali.
Habari ID: 3481067    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/11

IQNA-Mshambuliaji wa timu ya soka ya Liverpool, Mohamed Salah amekosoa hatua ya Muungano wa Vyama vya Soka vya Ulaya UEFA ya kumuenzi Suleiman Al-Obeid, anayejulikana kama "Pele wa Palestina," baada ya bodi inayosimamia soka ya Ulaya kutoelezea mazingira ya kifo chake wiki hii.
Habari ID: 3481065    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/10

IQNA – Shirika la kutetea haki za Waislamu nchini Marekani limelaani vikali vifo vya raia wa Gaza vinavyosababishwa na njaa inayosababishwa kimakusudi na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ukanda wa Palestina.
Habari ID: 3481043    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/06

IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon, amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani wanatekeleza jinai za kila siku, zilizo na mpangilio mahsusi, katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3481023    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/31

IQNA – Kundi la walimu na maqarii mashuhuri wa Qur’ani kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeandika barua ya wazi kwa maqari wa Misri, likiwataka wachukue msimamo dhabiti dhidi ya ukatili wa utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusimama pamoja na watu wanyonge wa eneo hilo.
Habari ID: 3481022    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/30

IQNA-Sheikh Muhammad Ahmad Hussein, Mufti Mkuu wa Al-Quds, amepigwa marufuku na utawala dhalimu wa Israel kuingia Msikiti wa Al-Aqsa ulio mjini Quds (Jerusalem) kwa muda wa wiki moja, marufuku ambayo inaweza kuongezwa
Habari ID: 3481015    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/28

IQNA-Jeshi la majini la utawala ghasibu wa Israel limeiteka meli ya misaada iliyokuwa ikielekea Ukanda wa Gaza, ikiwa na bendera ya Uingereza, katika harakati za kuvunja mzingiro mkali wa eneo hilo unaoendelea tangu mwaka 2007.
Habari ID: 3481010    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/27

IQNA-Mmoja wa viongozi wa ngazi za juu kidini nchini Iran amemwandikia barua Papa Leo XIV akisema: "Mienendo ya kikatili na isiyo ya kibinadamu ya utawala wa Kizayuni wa Israel ikiwa ni pamoja na kuzuia kupelekwa chakula na mahitaji muhimu kwa watu wa Gaza ni ukiukaji wa wazi wa kanuni za kidini, kibinadamu, maadili na sheria za kimataifa."
Habari ID: 3480994    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25

IQNA – Sheikh Ahmed al-Tayeb, Imamu Mkuu wa Al-Azhar, ametoaito wa dharura kwa jamii ya kimataifa kuingilia kati mara moja kuokoa watu wa Gaza dhidi ya baa la njaa linalokatili maisha ya wengi.
Habari ID: 3480989    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/23

IQNA – Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa wito kwa serikali za Kiislamu na mataifa ya Waislamu kuchukua hatua na kufanya jihadi ili kuisaidia Gaza na kuwaokoa watu wasio na hatia walioko chini ya mzingiro wa Israel katika Ukanda wa Palestina.
Habari ID: 3480983    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/22

IQNA – Papa Leo XIV amelaani vikali vita vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel Gaza, akielezea vita hiyo kuwa ya “kinyama” na kukosoa matumizi holela ya nguvu, huku makumi ya Wapalestina wakiripotiwa kuuawa wakiwa kwenye foleni ya msaada wa chakula.
Habari ID: 3480975    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/21

IQNA-Maandamano ya watu karibu milioni moja yamefanyika huko Sanaa, mji mkuu wa Yemen, jana Ijumaa katika kutan gaza mshikamano wao na Wapalestina huko Gaza na kulaani uchokozi wa jeshi la Israel huko Gaza na Yemen.
Habari ID: 3480968    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/19

IQNA – Kundi la watu wanaojiita viongozi wa Kiislamu na maimamu wa jamii za Waislamu barani Ulaya limekumbwa na ukosoaji mkali baada ya kufanya ziara katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu wiki hii, wakati ambapo utawala wa Kizayuni unaendelea na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Gaza.
Habari ID: 3480930    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/12

IQNA – Waislamu nchini Singapore wanatarajiwa kuchangia tani 16 za nyama ya Udhiya iliyo kwenye makopo kwa ajili ya wakaazi wa Gaza, kama sehemu ya juhudi za kibinadamu zitakazofanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
Habari ID: 3480867    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/29

IQNA - Mgogoro mkubwa wa maji unatishia Wapalestina wa Gaza ambapo wanaweza kufariki kutokana na kiu cha maji  huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3480860    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/26

IQNA - Jeshi katili la Israel dhid limeua takriban Wapalestina 56,077 katika mauaji ya kimbari huko Gaza tangu Oktoba 7, 2023.
Habari ID: 3480856    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/25

IQNA-Tume huru ya Umoja wa Mataifa imeutuhumu utawala wa Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki kwa kuwashambulia raia wa Kipalestina wanaohifadhiwa katika shule na maeneo ya kidini huko Gaza.
Habari ID: 3480822    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/11

IQNA – Wapalestina kote Ukanda wa Gaza wameswali Swala ya Idul Adha juu ya magofu ya misikiti iliyoharibiwa na vita vya kinyama vya utawala wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3480799    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/07