Fatima Atif al Bindary, 14, ameshinda mashindano hayo yaliyokuwa ambayo yalishirikisha wanafunzi milioni 13 kote Misri.
Fatima ni mwanafunzi wa shule ya sekondari katika mji wa al Kharijah katika jimbo la al Wadi al Jadid.
Baba yake Fatima anasema bintiye alianza kuhifadhi Qur’ani akiwa na umri wa miaka 9. Aidha Fatima amehifadhi hadithi zaidi ya 6000 za Mtume Muhammad SAW.