Habari ID: 3470505 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Utawala wa kifalme Bahrain umeendeleza ukandamizaji wa wanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, katika fremu ya kampeni dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
Habari ID: 3470504 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu amefanikiwa kuhifadhi kikamilifu Qur’ani Tukufu katika mji wa Zaria kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3470503 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Mkutano wa tatu wa Siku ya Haki za Binadamu za Kiislamu na Heshima ya Mwanadamu umefanyika mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Mkuu wa Vyombo vya Mahakama Iran, Ayatullah Amolo Larijani.
Habari ID: 3470502 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/07
Mwanamke Mwislamu nchini Marekani amefutwa kazi baada kutokana na kuvaa vazi la Hijabu akiwa kazini.
Habari ID: 3470501 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/07
Kozi ya mafunzo ya Kiislamu katika kipindi cha muda mfupi imemamalizika hivi karibuni nchini Uganda kwa kutolewa zawadi kwa wanafunzi bora.
Habari ID: 3470500 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/07
Wanandoa Waislamu wamelituhumu Shirika la Ndege la Marekani la Delta Airlines kwa kuwa na chuki dhidi ya Uislamu baada ya kuwazuia kusafiri na ndege ya shirika hilo mjini Paris.
Habari ID: 3470497 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/06
Utawala wa kiimla wa Bahraini umetumia askari kuwazuia Waislamu kutekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Imam Sadiq (AS) katika kijiji cha Diraz nje ya mji mkuu Manama.
Habari ID: 3470496 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/05
Baada ya kundi la kigaidi la ISIS kutangaza kuteua kinara mpya wa kundi la kigaidi la Boko Haram, kumeibuka hitilafu huku kinara wa muda mrefu wa Boko Haram akipinga uteuzi huo.
Habari ID: 3470495 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/05
Mwanamke Mwislamu aliyekamatwa Uingereza kwa kusoma kitabu kuhusu Syria ameazimia kuwasilisha kesi kulalamikia namna alivyo dhalilishwa na wahudumu wa ndege pamoja na askari wa kupambana na ugaidi.
Habari ID: 3470494 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/04
Duru ya tano ya mashindano ya kimatiafa ya Qur’ani ya wanafunzi wa shule yatafanyika nchini Iran mwezi Februari mwaka 2017.
Habari ID: 3470493 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/04
Jopo la uchunguzi kuhusu mauaji ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria limekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika liliuawa Waislamu 348 katika mji wa Zaria jimbo la Kaduna.
Habari ID: 3470492 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/03
Tamasha la Kimataifa la mjukuu wa Mtume SAW, Imam Ridha AS, litafanyika nchini Iran na kushirikisha nchi 77 mwaka huu.
Habari ID: 3470491 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/03
Mwanazuoni wa ngazi za juu Iran amempongeza Sheikh Mkuu wa Al Azhar kwa jitihada zake za kuleta umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3470490 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Taasisi ya Kitaifa ya Vitabu Pakistan imezindua kitabu maalumu cha hadithi za Qur’ani maalumu kwa watoto wadogo.
Habari ID: 3470489 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Awamu ya kwanza ya mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu maalumu kwa wasichana yamepangwa kufanyika Dubai nchini Imarati kuanzia Novemba 6 hadi 18.
Habari ID: 3470488 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Maonyesho ya kwanza na ya pamoja ya Qur’ani ya Iran na Senegal yamefanyika katika Msikiti wa Jamia wa Dakar, mji mkuu wa Senegal.
Habari ID: 3470487 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asema mapatano ya nyuklia kati ya Iran na nchi za kundi la 5+1 maarufu kwa kifupi JCPOA ni tajiriba inayoonesha kutokuwa na matunda wala faida kufanya mazungumzo na Marekani .
Habari ID: 3470486 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/01
Siku kama hii, 25 Mfunguo Mosi Shawwal, miaka 1289 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria, Imam Ja'far Swadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW aliuawa shahidi kwa kupewa sumu kwa amri ya Mansur Dawaniqi mtawala dhalimu wa Bani Abbas.
Habari ID: 3470485 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/31
Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali safari ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Saudi Arabia katika utawala wa Kizayuni wa Israel wiki jana.
Habari ID: 3470484 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/31