Harakati ya mapambano ya Kiislamu (muqawama) ya Lebanon Hizbullah imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia uchokozi wake katika mashamba ya Shab'a.
Habari ID: 3470531 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/19
Mashindano ya Qur’ani ya msimu wa joto yameanza mjini Bidiya nchini Oman.
Habari ID: 3470530 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/18
Maeneo kadhaa ya Ibada katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi yamepakwa rangi ya njano kama njia ya kuleta umoja na kusisitiza nukta za pamoja baina ya wafuasi wa dini mbali mbali.
Habari ID: 3470528 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/17
Mshukiwa mmoja amefikishwa mahakamani Marekani baada ya kubainika kuwa alimpiga risasi na kumua Imamu wa msikiti na Mwislamu aliyekuwa naye huko mjini New York huku Waislamu wakitaka uadilifu na haki.
Habari ID: 3470526 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/17
Mwanamke Mwislamu Mmarekani, Ilhan Omar ameweka historia kwa kuchaguliwa kugombea kiti katika Bunge la Wilaya ya 60B jimbo la Minnesota nchini Marekani.
Habari ID: 3470525 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/16
Mgahawa Halali ulio katika makao ya wanariadha katika michezo ya Olimpiki huko Rio de Janeiro nchini Brazil mbali na kuwavutia wanariadha Waislamu pia unawavutia wasiokuwa Waislamu.
Habari ID: 3470524 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/15
Imam wa msikiti mmoja katika jimbo la New York nchini Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika hujuma ya kigaidi.
Habari ID: 3470522 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/14
Sayyid Hassan Nasrullah
Kiongozi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameyataka makundi ya kigaidi na kitakfiri kuweka chini silaha na yatambue kuwa harakati zao hazina maslahi kwa yeyote isipokuwa adui Marekani.
Habari ID: 3470521 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/14
Tarehe 11 Mfunguo Pili Dhil Qaada ni siku ya maadhimisho ya kuzaliwa Imam Ali bin Musa ar-Ridha AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470520 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/14
Shirika la Kutetea Haki za Mashia (SRW)
Hali ya kiafya ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria INM, Sheikh Ibrahim Zakzaky inazidi kuwa mbaya, Shirika la Kutetea Haki za Waislamu wa Madhehebu ya Shia, SRW, limesema.
Habari ID: 3470519 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/13
Wafanyakazi wa Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Mfalme Fahd nchini Saudia Arabia wameitisha mgomo kulalamikia ucheleweshwaji mishahara yao.
Habari ID: 3470518 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/12
Mashindano ya 4 ya Qur’ani Tukufu Ulaya Kaskazini yameanza Ijumaa hii katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm.
Habari ID: 3470517 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/12
Shirika moja la kutetea haki za binadamu Nigeria limetoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kuwafikisha kizimbani wanajeshi waliohusika katika kuwaua Waislamu wa madhehebu ya Shia mwezi Desemba mwaka jana.
Habari ID: 3470516 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/11
Mwandishi mwenye asili ya Somalia amebaini kuwa vyombo vya habari vya Magharibi hupuuza na kutozingaita habari kuhusu Waislamu wanaouawa katika vitendo vya kigaidi hasa nchini Somalia.
Habari ID: 3470515 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/11
Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Al Aqsa yanafanyika katika Ukanda wa Ghaza kwa usimamizi wa Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kiislamu Palestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470512 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/10
Ndege za kivita za Saudi Arabia zimedondosha mabomu katika msikiti mwingine huko kaskazini mashariki mwa Yemen.
Habari ID: 3470511 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/09
Wanafunzi Wakristo nchini Zimbabwe wameshiriki katika warsha ya siku moja kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3470510 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/09
Idadi kubwa ya watu wameuawa katika mlipuko wa bomu uliolenga hospitali kuu ya mji wa Quetta, kusini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3470508 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Duka moja la bidhaa halali nchini Ufaransa limeonywa kuwa iwapo haliafiki kuuza pombe na nyama ya nguruwe basi litapokonywa leseni na kufungwa.
Habari ID: 3470507 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Senegal kimeandaa warsha kuhusu kusoma Qur’ani kwa tajwid katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
Habari ID: 3470506 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08