iqna

IQNA

Wanajeshi Wairaqi wamekuwa na kikao maalumu cha kusoma Qur’ani katika huko Saad al A’adhim katika mkoa wa Diyala, eneo ambalo wamelikomboa hivi karibuni kutoka kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470483    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29

Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW, tawi la Senegal, kimepanga warsha maalumu ya misingi ya tajweed na usomaji Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3470482    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29

Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu yatakayofanyika Iran yanatazamiwa kuwa na washiriki kutoka nchi Zaidi ya 50.
Habari ID: 3470481    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29

Waislamu nchini Uganda wamemtaka Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo kubuni wizara mpya ya masuala ya Kiislamu.
Habari ID: 3470480    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29

Mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yanafanyika nchini Gambia kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa nchi 28.
Habari ID: 3470478    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/28

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imealikwa kama mgeni wa heshima katika Mjumuiko Mkubwa wa 9 wa Qur’ani nchini Senegal.
Habari ID: 3470477    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/27

Mashindano ya kitaifa ya kusoma Qur’ani kwa kuzingatia misingi ya Tajweed yamefanyika Palestina kuanzia Julai 24.
Habari ID: 3470476    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26

Mwanamke Mwislamu mwenye umri wa miaka 25 amedhalilishwa baada ya kunyimwa kazi kutokana na vazi lake la Hijabu.
Habari ID: 3470475    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26

Sheikhe Mkuu wa Al Azhar
Sheikh Ahmed el-Tayyib, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar, Misri ametoa wito kwa maulmaa wa Shia na Sunni kutoa fatwa ambazo zitawazuia Waislamu wa madhehebu hizo kusitisha malumbano ya kimadhehebu.
Habari ID: 3470474    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26

Jeshi la Misri limeushambulia kwa misingi msikiti mmoja katika Rasi ya Sinai, na kuharibu sehemu za msikiti huo.
Habari ID: 3470471    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/24

Mamia ya watu, wakiwemo Waislamu na wasio Waislamu wameandamana Marekani kupinga chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu au Islamophobia..
Habari ID: 3470470    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/24

Mwaka moja uliopita, Indira Kaljo, mwanamke Mwislamu mcheza basketboli, aliamua kuvaa vazi la staha la Kiislamu, Hijabu.
Habari ID: 3470469    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/23

Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran
Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran amesisitiza kuhusu Diplomasia ya Hija baina ya nchi zote za Kiislamu hasa Iran na Pakistan.
Habari ID: 3470467    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/21

Kila wikendi, Waislamu wa kundi la GainPeace, (tupate amani) la Chicago, Marekani hutenga meza ya vitabu ambapo husambaza nakala za Qur'ani na vitabu vigine vya Kiislamu katika mji huo.
Habari ID: 3470466    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/21

Zaidi ya watu 44 wameuawa kufikia Jumanne katika mapigano yalianza Julai 9 katika eneo la Kashmir linalidhibitiwa na India.
Habari ID: 3470465    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/19

Kongamano la Kimataifa kuhusu masomo ya Qur'ani Tukufu limemalizika katika mji wa Manchester nchini Uingereza.
Habari ID: 3470463    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18

Utawala wa Kifalme Bahrain umekivunja chama cha Kiislamu cha al-Wefaq ambacho ndio chama kikuu cha upinzani nchini humo.
Habari ID: 3470461    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18

Habari ID: 3470460    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18

Habari ID: 3470459    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18

Vijana wasomaji wa Qur'ani kutoka nchi kadhaa za Afrika Mashariki wamekutana Kigali Rwanda na kubainisha wazi kuwa wanapinga idiolojia ya mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3470458    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/17