Balozi wa Iran nchini Tanzania anayeondoka
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania ambaye muda wake umemalizika amesema, kadhia ya kukombolewa Quds Tukufu ni kadhia muhimu zaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu na miongoni mwa watetezi wa uhuru duniani.
Habari ID: 3470622 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maudhui ya utandawazi na maagizo ya Wamarekani na watu wa Ulaya wanaoitaka Iran kujiunga na eti "familia ya kimataifa" ni mfano wa wazi wa kuzalishwa tena utamaduni wa kuwa tegemezi.
Habari ID: 3470621 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/20
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limethibitisha tena kwamba msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu ni milki ya Wapalestina.
Habari ID: 3470620 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/19
Russia na Iran zinashirikiana katika kuandaa kongamano la Umoja wa Kiislamu mjini Moscow.
Habari ID: 3470619 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/18
Rais wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna ulazima wa kutumia njia za kiutamaduni na kiuchumi kukabiliana na ugaidi.
Habari ID: 3470617 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/17
Afisa wa Umoja wa Mataifa
Afisa wa ngazi za juu katika Umoja wa Mataifa amesema Waislamu Zaidi ya 120,000 nchini Myanmar wanaishi katika hali mbaya sana wakiwa katika kambi za wakimbizi wa ndani ya nchi.
Habari ID: 3470615 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/16
Shehe Mkuu wa Ahul Sunna, Dar es Salaam, Tanzania
Sheikh Mussa Salim Al Hadi , Shehe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Tanzania amehutubu katika hadhara ya Mashia na kusema Imam Hussein AS ni wa Waislamu wote duniani na kuadhimisha Ashura ni katika dhihiriso la nembo za Allah.
Habari ID: 3470614 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/15
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema a uungaji mkono madola ya Magharibi kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Saudia huko Yemen, ndiyo sababu ya kushadidi mgogoro na kuuliwa raia wasio na hatia.
Habari ID: 3470612 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limepitisha azimio na kusema Msikiti wa Al Aqsa ni milki ya Waislamu kwamba Mayahudi hawana haki katika msikiti huo.
Habari ID: 3470611 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14
Waislamu wasiopungua 10 wameuawa shahidi Jumatano baada ya jeshi kuwashambulia Waislamu waliokuwa katika maombolezo ya Ashura ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad SAW , Imam Hussein bin Ali AS katika jimbo la Katsina huko kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Habari ID: 3470610 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/13
Sayyid Hassan Narallah
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa Marekani ina mkono katika migogoro na machafuko yanayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3470609 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/13
Tuko katika siku hizi za kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS ambaye ni mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470608 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/12
Mwanamke Mwislamu amehujumiwa na kuvuliwa Hijabu katika hujuma ya kibaguzi iliyojiri mjini London.
Habari ID: 3470607 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/10
Raia wasiopungua 160 wameuawa kinyama katika mji mkuu wa Yemen Sana'a baada ya ndege za kijeshi za Saudi Arabia kuwashambulia walipokuwa katika kikao cha mazishi.
Habari ID: 3470606 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/09
Katika muendelezo wa ukandamizaji wa Waislamu nchini Nigeria, Harakati ya Kiislamu ya Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky imepigwa marufuku katika jimbo la Kaduna kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470605 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/08
Hawza Imam Swadiq (a.s) na Masjid al Ghadiir katika mji wa Dar es Salaam Tanzania imeshuhudia tukio la kupandishwa Bendera ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470604 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/08
Mufti wa Misri
Mufti wa Misri amevitaka vyombo vya habari vya nchi za Magharibi viache kutumia neno "Dola la Kiislamu" kuliarifisha kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470602 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/07
Saudi Arabia imeendelea kukaidi wito wa kuundwa kamati ya kimataifa ya kutafuta ukweli kuhusu jinai zilizofanywa na utawala huo dhidi ya taifa la Yemen.
Habari ID: 3470601 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/06
Mwanazuoni wa Nigeria katika mzungumzo na IQNA:
Pamoja na kuwa serikali ya Nigeria kidhahiri imetangaza Waislamu wa madhehebu ya Shia hawatawekewa vizingit katika maombolezo ya siku 10 za Muharram, imebainika kuwa kuna vizingiti katika Siku ya Ashura.
Habari ID: 3470600 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/05
Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Tanzania amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni mjumuiko wa viongozi wa baadaye wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470598 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/04