Abdul-Malik Badreddin al-Houthi
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ndiyo iliyotoa amri ya kushambuliwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470574 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/21
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia umuhimu wa umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu na kusema kuwa, kuchochea makundi mengine ya Kiislamu kwa jina la Ushia kimsingi ni Ushia unaofadhiliwa na Uingereza.
Habari ID: 3470573 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/20
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa miongoni mwa wenye kushikamana na Wilaya ya Ali bin Abi Talib na kizazi chake kitoharifu na maasumu; na mpaka pale roho zetu zitakapokuwamo viwiliwilini mwetu.
Habari ID: 3470572 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19
Nyaraka za Siri
Huku Saudi Arabia ikijaribu kudai kuwa Ibada ya Hija iliandaliwa kwa mafanikio mwakubwa mwaka huu bila tatizo lolote, ripoti iliyovuja inaonyehsa kuwa mahujaji zaidi ya 800 walifariki wakati wa Hija.
Habari ID: 3470571 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema miongoni wa nukta muhimu za nguvu laini za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutoyaamini hata kidogo madola ya kibeberu, hasa Marekani.
Habari ID: 3470570 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19
Warsha ya pili ya kutoa mafunzo ya Uislamu kwa wanafunzi Wakristo na Waislamu nchini Zimbabwe imefanyika kwa mjini Harare.
Habari ID: 3470569 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/18
Seneta Pauline Hanson wa Australia amekosolewa kwa matamshi yake yaliyojaa chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3470568 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/17
Wakaazii wa mji wa Tshwane nchini Afrika Kusini wamebainisha hasira zao baada ya kupatikana maandishi ukutani yenye kuwavunjia heshima Waislamu.
Habari ID: 3470566 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/16
Mahakama ya utawala wa kiimla Bahrain meakhirisha tena kutolewa hukumu dhidi ya Sheikh Isa Qassim.
Habari ID: 3470565 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/16
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa maonyesho ya Qur'ani Tukufu nchini Sierra Leone magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3470564 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/15
Katika kitendo kingine cha chuki dhidi ya Waislamu, mwanamke aliyekuwa amevaa Hijabu ameshambuliwa na kuchomwa moto mjini New York, Marekani.
Habari ID: 3470562 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/14
Kituo cha Kiislamu katika jimbo la Florida Marekani kimeteketezwa moto na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3470561 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/13
Khatibu wa Sala ya Idul Adha Tehran
Khatibu wa Sala ya Idul Adha Tehran amesema watenda jinai katika ukoo wa Aal Saud wanapaswa kufikishwa mbele ya mahakama ya Kiislamu na kuadhibiwa kutokana na maafa ya Mina katika ibada ya Hija mwaka jana.
Habari ID: 3470560 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/12
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu duniani salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa siku kuu ya Idul Adha.
Habari ID: 3470559 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/12
Tuko katika mnasaba wa siku ya Arafa yaani mwezi Tisa Mfunguo Tatu Dhulhija ambayo ni fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira.
Habari ID: 3470558 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/11
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamuru wasichana Waislamu nchini humo wanaruhusiwe kuvaa vazi la stara ya mwanamke wa Kiislamu Hijabu wakiwa shuleni.
Habari ID: 3470557 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/10
Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameandamana kote nchini kulaani jinai za tawala za kikoo za Aal Saud huko Saudi Arabia na Aal Khalifa huko Bahrain kwa jinai zao dhidi ya watu wa eneo.
Habari ID: 3470556 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/10
Habari ID: 3470555 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/10
Waislamu nchini Nigeria wameendelea kufanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo na kuelezea wasiwasi walionao kuhusiana na hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3470554 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/09
Waziri wa Mambo ya nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa jibu kwa matamshi ya kijahili na dharau yaliyotolewa hivi karibuni na mufti mkuu wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3470553 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/08