ACECR

IQNA

IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu yanajitahidi kuimarisha uhusiano kati ya washiriki duniani kote badala ya kuwa mashindano ya muda mfupi pekee, amebaini mtaalamu.
Habari ID: 3481148   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/28

IQNA – Awamu ya awali ya kategoria ya usomaji katika Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamuyaliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza rasmi, huku washiriki kutoka mataifa 36 wakituma video za usomaji kwa ajili ya tathmini.
Habari ID: 3481101   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/18

IQNA – Kiongozi wa Akademia ya Iran ya Elimu, Utamaduni na Utafiti (ACECR) amesema kwamba programu kama Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu huchangia katika elimu ya kizazi kipya na kuimarisha diplomasia ya kitamaduni kupitia Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3481096   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/17

IQNA – Profesa Ali Montazeri, Mkuu wa Akademia ya Kitaifa cha Elimu, Utamaduni na Utafiti (ACECR) nchini Iran, amesema kuwa lengo la mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni kuzuia maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia ya taifa hilo.
Habari ID: 3480977   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/21

IQNA – Washiriki wa baraza la utungaji sera kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wametangazwa.
Habari ID: 3480678   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13

IQNA – Kadri maandalizi ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu yanavyoendelea, tarehe ya mwisho kwa washiriki wa sehemu ya Teknolojia na Ubunifu Kuhusu Qur’ani inakaribia.
Habari ID: 3480534   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13

IQNA – Maafisa wa Makao Makuu ya Uratibu wa Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Iran yalifanya mkutano siku ya Jumamosi mjini Tehran.
Habari ID: 3479268   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/12

Wasomi Waislamu
IQNA - Rais wa Akademia ya Elimu, Utamaduni na Utafiti ya Iran (ACECR) ameisitiza haja ya kuchunguza maoni ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu marehemu mwanasayansi wa Iran Dakta Saeid Kazemi Ashtiani.
Habari ID: 3478152   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/05

TEHRAN (IQNA)- Lugha ya Kireno sasa ni lugha ya 21 katika Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA).
Habari ID: 3474737   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29

TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Akademia ya Elimu, Utamaduni na Utafiti Iran (ACECR) amesema academia hiyo inapaswa kuongoza duniani katika ustawi wa sayansi na teknolojia.
Habari ID: 3473037   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05