iqna

IQNA

meli
TEHRAN (IQNA)- meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka hapa nchini kuelekea Lebanon ikiwa ni katika mkakati wa kuvunja vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3474318    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/20

TEHRAN (IQNA)- Moto umezuka katika meli ya mizogo ya Israel baada ya kushambuliwa kwa 'silaha isiyojulikana' ikiwa katika maji ya Bahari ya Hindi.
Habari ID: 3474068    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/04

Wanamaji wa jeshi la utawala haramu wa Israel wameiteka nyara meli ya misaada ya Sweden iliyokuwa imebeba misaada ya Wapalestina walio katika eneo linalozingirwa la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3321135    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/29

Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani limeahidi kupeleka misaada ya Iran nchini Yemen. Meli ya Iran ilikuwa ipeleke misaada ya kibinadamu moja kwa nchini Yemen lakini ikashindwa kufanya hivyo kutokana na kuendelea hujuma za katika Bandari ya Hudaydah.
Habari ID: 3307026    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/24

Meli ya misaada ya kibinadamu ya Iran kwa ajili ya wananchi wanaondelea kushambuliwa kinyama na Saudi Arabia huko Yemen inaendelea na safari yake baada ya kuondoka katika bandari ya Bandar Abbas, kusini mwa Iran.
Habari ID: 3292005    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/12