iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Taasisi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeandaa mashindano ya Tarteel ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani maalumu kwa waliosilimu.
Habari ID: 3471514    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/15

TEHRAN (IQNA) – Idadi ya Waislamu barani Ulaya inatazamiwa kupanda na kufika asilimia 8 na asilimia 2.1 nchini Marekani ifikapo mwaka 2030, imesema ripoti ya Global Muslim Diaspora.
Habari ID: 3471511    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/13

KUALA LUMPUR (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 60 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia wametangazwa leo Jumapili
Habari ID: 3471510    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/13

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, harakati ya elimu katika Ulimwengu wa Kiislamu inapaswa kuwa na kasi kubwa na kwa mara nyingine tena Umma wa Kiislamu ufikie kilele cha nguvu za kielimu na kiustaarabu ili maadui wa Uislamu wakiwemo Wamarekani washindwe kutoa amri kwa marais wa nchi za Kiislamu kwa kuwaambia fanyeni hili na msifanye lile.
Habari ID: 3471509    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/12

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hujuma iliyopelekea kuuawa muumini katika msikiti ulio karibu na mji wa Durban nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3471507    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/12

TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Leba mjini Berlin, Ujerumani imesema baraza la mji lina haki ya kumzuia mwalimu Mwislamu kuvaa Hijabu na hivyo kutupilia mbali malalamiko yake ya kubaguliwa.
Habari ID: 3471505    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/11

TEHRAN (IQNA)-Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limetoa wito kwa Waislamu kote Marekani kuchukua tahadhari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3471503    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/09

KUALA LUMPUR (IQNA)- Mashindano ya 60 ya Kimataifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Tukufu ya Malaysia yameanza Jumatatu katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiislamu kusini mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3471501    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/08

TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini Oman imetangza kuwa Mei 17 itakuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3471500    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/07

TEHRAN (IQNA) – Wapalestina wameweka kambi maalumu za kusoma Qur'ani katika maeneo ya 'Maandamano ya Kurejea' katika Ukanda wa Ghaza pamoja na kuwa wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiwafyatulia risasi na kuwaua Wapalestina.
Habari ID: 3471498    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/06

TEHRAN (IQNA)-Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imeahidi kuchukua hatua imara kutatua kadhia ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa nchini Myanmar huku wengi wao wakikimbilia Bangladesh kuokoa maisha yao.
Habari ID: 3471497    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/06

TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Ghana kimeandaa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani pamoja na adhana.
Habari ID: 3471496    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05

TEHRAN (IQNA) –Waislamu wa mji mkuu wa Australia, Canberra wana sababu ya kutabasamu kufuatia kufunguliwa msikiti mpya katika mji huo baada ya jitihahada za muda mrefu.
Habari ID: 3471495    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05

TEHRAN (IQNA)- Watu wanaouchukua Uislamu na Waislamu wanauhujumi msikiti huko Scotland nchini Uingereza na kutupa vipande vya nyama ya nguruwe mlangoni.
Habari ID: 3471492    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/03

TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la reli nchini Japan limejenga vyumba vya Waislamu kuswali katika moja ya vituo vyake muhimu.
Habari ID: 3471489    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/30

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo imekuwa mwenyeji wa duru kadhaa za mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu katika vyuo vikuu duniani inahimiza nchi zingine za Kiislamu ziandae duru zijazo za mashindano hayo.
Habari ID: 3471486    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/28

Mjini Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo Waislamu yameanza katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3471485    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/27

TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ameituhumu Saudi Arabia kuwa inaliunga mkono kifedha Jeshi la Nigeria ili litekeleza mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
Habari ID: 3471484    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/27

TEHRAN (IQNA)-Washiriki 44 wamefuzu katika fainali ya Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi Waislamu katika vyuo vikuu vya nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3471479    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/24

TEHRAN (IQNA)- Washiriki 24 katika kategoria za kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu wameshindano katika siku ya kwanza ya Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471474    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/21