waislamu - Ukurasa 74

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wanaharakati wa Akademia katika Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Jumanne wameandamana wakitaka serikali imiachilie kiongozi wao aliye kizuzizini Sheikh Ibrahim Zakzaky huku aachiliwe huru mara moja.
Habari ID: 3471461    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/11

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa kwanza kujengwa katika eneo la Outer Hebrides huko Scotland nchini Uingereza utafunguliwa katika kipindi cha miezi michahce ijayo hata baada ya Kanisa la Presbyterian kupinga vikali ujenzi huo.
Habari ID: 3471460    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/10

TEHRAN (IQNA)-Chama cha Barisan Nasional nchini Malaysia kimetangaza mpango wa kujenga Chuo Kikuu cha Qur'ani nchini humo ambapo watakaohitimu hapo watakuwa wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na pia watakuwa wamepata utaalamu katika taaluma nyinginezo.
Habari ID: 3471459    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/09

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Jimbo la Texas nchini Marekani imetangaza zawadi ya $5000 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazopelekea kukamatwa mtu ambaye alimdunga kisu mwanamke Mwislamu katika mji wa Houston.
Habari ID: 3471457    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/07

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri imetangaza kukamilika tarjuma mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiswahili.
Habari ID: 3471453    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/04

TEHRAN (IQNA)- Idara ya masuala ya kidini nchini Uturuki imetangaza mpango wa kuandika tafsiri mpya ya Qur'ani itakayaondikwa kwa mchango wa wanasayansi.
Habari ID: 3471452    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/03

TEHRAN (IQNA)- Maandamano ya Siku ya Ardhi yalifanyika leo kwa siku ya nne mfululizo huko katika Ukanda wa Gaza na kushambuliwa tena na askari wa utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3471451    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/02

TEHRAN (IQNA)-Uturuki imewatunuku Waislamu wa kusini mwa Uhispania nakala 3,000 za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471448    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/30

TEHRAN (IQNA)- Mhadhiri wa Uislamu kutoka India amesema Qur'ani Tukufu ni muongozo kamili kwa wanadamu wa zama zote.
Habari ID: 3471447    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/29

TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm, umehujumiwa na kuandikwa maandishi na nembo za kibaguzi siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3471441    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/23

TEHRAN (IQNA)- Ndege za kivita za utawala dhalimu wa Saudia Arabia zimedondosha mabomu katika maeneo ya raia ya mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa Yemen nna kuua na kujeruhiwa raia 17 wakiwemo wanawake na watoto.
Habari ID: 3471440    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/22

TEHRAN (IQNA)- Moto mkubwa umeteketeza na kuharibu tena Kituo cha Kiislamu cha Eastside katika eneo la Bellevue, jimbo la Washington nchini Marekani, hii ikiwa ni mara ya pili eneo hilo la Waislamu kuteketezwa moto katika kipindi cha mwaka moja.
Habari ID: 3471439    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/22

TEHRAN (IQNA)- Nakala nadra ya na yake ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa karne 9 zilizopita imepatikana nchini Tunisia.
Habari ID: 3471435    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/19

TEHRAN (IQNA)- Tume wa Majeshi ya Kifederali Ujerumani, imetaka Maimamu waajiriwe katika jeshi la nchi hiyo ili kuwahudumia wanajeshi Waislamu.
Habari ID: 3471434    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/18

TEHRAN (IQNA) – Katika nchi za Kiislamu kwa kawaida huwa huwa hakuna tatizo kupata chakula au bidhaa halali.
Habari ID: 3471432    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/18

TEHRAN (IQNA)- Njama ya watu wenye misimamo mikali ya kinazi ya kuushambulia kwa bomu msikiti Scotland nchini Uingereza imetibuliwa na mshukiwa kukamatwa.
Habari ID: 3471430    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/16

TEHRAN (IQNA)- Kituo kipya cha Kiislamu kimefunguliwa katika mjini Mombasa, Kenya katika mtaa wa Majengo kwa lengo la kukabiliana na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3471428    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/14

TEHRAN (IQNA)- Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wameulaumu mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook kuwa umehusika kwa uchochezi wa mauaji ya umati dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3471427    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/13

TEHRAN (IQNA)- Mesut Ozil mchezaji mashuhuri Mwislamu katika timu ya taifa ya soka ya Ujerumani amemjibu mwanasiasa anayeuchukia Uislamu ambaye alimkosoa kwa safari yake ya Umrah.
Habari ID: 3471425    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/11

TEHRAN (IQNA)-Idadi ya Waislamu nchini Russia sasa imefika watu milioni 25 kati ya watu milioni 145 nchini humo, amesema Mufti Mkuu wa Russia Sheikh Rawil Gaynetdin.
Habari ID: 3471421    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/08