waislamu - Ukurasa 77

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Nchini Canada, binti Muslamu mwenye umri wa miaka 11 ameshambuliwa na Hijabu yake kuraruliwa wakati akiwa njiani kuelekea shuleni katika tukio la hujuma ya chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3471352    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/13

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) lina mpango wa kutoa mafunzo maalumu ya njia za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471351    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/12

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Tariqa Muridiyyah (aṭ-Ṭariqat al-Muridiyyah) ya Senegal Sheikh (Serigne) Sidy Mokhtar Mbacke ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94.
Habari ID: 3471350    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ushahidi na nyaraka za kipelelezi zinaonesha kuwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran yalipangwa na pande tatu.
Habari ID: 3471349    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/10

TEHRAN (IQNA)-Jumuiya ya Kimataifa ya Vijana Waislamu imezawadia watu wa Djibouti nakala 15,000 za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471346    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/08

TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Saudi Arabia unawazuia raia wa Qatar kutekeleza Ibada ya Umrah katika miji mitakatifu ya Makkah na Madinah.
Habari ID: 3471345    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/07

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN- (IQNA) Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema, fujo ambazo zimeshuhudiwa siku za hivi karibuni mjini Tehran zinaashiria kuwepo uchochezi wa Marekani na vibaraka wake.
Habari ID: 3471343    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/05

TEHRAN (IQNA)-Idadi ya Waislamu wanaoishi nchini Marekani inatazamiwa kuongezeka maradufu ifikapo mwaka 2050 na hivyo kuufanya Uislamu kuwa dini ya pili kwa ukubwa nchini humo.
Habari ID: 3471342    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/04

TEHRAN (IQNA)-Ujumbe wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) umepanga kutembelea kambi za wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mji wa Cox’s Bazar nchini Bangladesh kuanzia Januari 3-6.
Habari ID: 3471340    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/02

TEHRAN, (IQNA)-Mwanamke Muislamu, Aina Gamzatova, ametangaza kujitosa katika uchaguzi wa urais wa Russia Machi 2018 kwa lengo la kumuondoa madarakani Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471335    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/01

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Austria wamekosoa matamshi dhid iya vazi la Hijabu ambayo yametamkwa na waziri mpya wa elimu Heinz Fassmann.
Habari ID: 3471332    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/30

TEHRAN (IQNA)-Eneo la Catalonia nchini Uhispania limepata mwanamek wa kwanza Muslamu mbunge katika uchaguzi uliofanyika Alhamisi iliyopita na hivyo kufanya idadi ya wabunge Waislamu eneo hilo kuwa watatu.
Habari ID: 3471328    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/28

TEHRAN (IQNA)-Tarjumi ya kwanza ya Qur'ani kwa lugha Kirundi imezinduliwa nchini Burundi katika hatua ambayo imetajwa kuwa kihistoria tokea Uislamu uingie nchini humo.
Habari ID: 3471326    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/27

TEHRAN (IQNA)-Asilimia 12.5 ya watu katika kila mkoa nchini Iran wanatazamiwa kuhifadhi Qur'ani kikamilifu ifikapo mwaka 2025, kwa mujibu wa mkakati uliowekwa.
Habari ID: 3471324    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/25

Rais wa Iran atuma ujumbe kwa munasaba wa kuadhimisha kuzaliwa Nabii Isa AS na kusema
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani amemtumia salamu viongozi wa mataifa ya dunia na kuwapa mkono wa pongezi kwa mnasaba wa kuadhimisha kuzaliwa mtume wa rehma na saada Nabii Isa Masih AS na vilevile kwa kukaribia kuanza mwaka mpya wa 2018 miladia.
Habari ID: 3471323    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/25

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Canada wamekuwa na mchango mkubwa na ni rasilimali muhimu kwa nchi amesema Waziri Mkuu Justin Trudeau katika ujumbe wake kwa Kongamano la Kuhuisha Uislamu.
Habari ID: 3471322    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/24

TEHRAN (IQNA)-Waislamu maeneo mbali mbali duniani wamebaiisha hasira zao kufuatia matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain aliyeandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa eti kadhia ya Quds na Palestina si muhimu bali ni suala la pembeni tu.
Habari ID: 3471320    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/22

TEHRAN (IQNA)-Duru ya 19 ya "Wiki ya Kitaifa ya Qur'ani" ya Algeria imeanza kuadhimishwa Disemba 19 katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3471319    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/21

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Finland imekataa kutoa idhini ya ujenzi wa msikiti uliokuwa umepangwa kufadhiliwa na Bahrain katika mji mkuu wa nchi hiyo, Helsinki.
Habari ID: 3471318    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/21

TEHRAN (IQNA)-Katika kuendeleza ukatili dhidi ya Waislamu, wanajeshi wa Myanmar wamemkamata mtoto aliyekuwa amehifadhi Qur'ani na kisha kumuua katika jimbo la Rakhine.
Habari ID: 3471317    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/20