IQNA – Mwanaume mmoja ameshtakiwa rasmi nchini Kosovo kwa kitendo cha kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu miezi michache iliyopita.
Habari ID: 3480718 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21
IQNA – Katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, misikiti nchini Kosovo imepiga hatua kubwa katika kufundisha Qur'ani kwa watoto.
Habari ID: 3480376 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/15
Harakati za Qur'ani
IQNA – Baraza la Wataalamu wa Kiislamu la Kosovo limezindua toleo jipya la tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kialbania.
Habari ID: 3479994 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/02
Harakati za Qur'ani
IQNA - Sherehe ilifanyika mashariki mwa Kosovo kuwaenzi wasichana 44 ambao wamehitimu kutoka kozi za Qur'ani.
Habari ID: 3479672 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30
Watoto na Qur'ani
IQNA - The "Little Memorizers" Academy ni taasisi huko Pristina, mji mkuu wa Kosovo, ambayo inafundisha Qur'ani kwa watoto.
Habari ID: 3479405 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09
TEHRAN (IQNA) Wakuu wa afya nchini Kosovo wanashirikiana na viongozi wa Kiislamu katika kuwashawishi watu wengi zaidi wapate chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474582 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20