iqna

IQNA

IQNA – Karibu wamilioni 53 za ziara zilirekodiwa katika Msikiti Mkuu wa Makkah na Msikiti wa Mtume huko Madina katika mwezi mmoja uliopita wa Hijria Qamaria.
Habari ID: 3481162    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/31

IQNA – Maonyesho ya Kimataifa na Makumbusho ya Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) pamoja na Ustaarabu wa Kiislamu yamezinduliwa katika Mnara wa Saa, katika mji mtukufu wa Makkah, siku ya Jumanne.
Habari ID: 3481152    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/29

IQNA – Saudi Arabia imetangaza washindi katika makundi matano ya Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Mfalme Abdulaziz yaliyofanyika mjini Makkah.
Habari ID: 3481116    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/21

IQNA – Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Qur’an Tukufu ya Mfalme Abdulaziz yanatarajiwa kufikia tamati kwa hafla maalum itakayofanyika mjini Makkah siku ya Jumatano.
Habari ID: 3481110    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/20

IQNA – Washiriki wa Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mfalme Abdulaziz wametembelea misikiti ya kihistoria na maeneo ya turathi katika mji wa Madina, kama sehemu ya programu ya kitamaduni iliyoandaliwa na mamlaka za Saudi Arabia.
Habari ID: 3481108    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/19

IQNA – Siku ya pili ya Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma kwa Tajwidi na Kufasiri Qur’ani Tukufu ilishuhudia washiriki 17 kutoka pembe mbalimbali za dunia wakisoma mbele ya hadhira katika Msikiti Mtukufu wa Makkah.
Habari ID: 3481068    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/11

IQNA – Mfululizo wa miradi ya kipekee ya Qur'an Tukufu imezinduliwa huko Makkah kwa lengo la kuihudumia Kitabu Kitukufu cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3481040    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/05

Umrah
IQNA – Mamlaka za Makka zimetangaza kuanzishwa kwa huduma za kuhifadhi mizigo kwa mahujaji wa Umrah, lengo likiwa ni kuwarahisishia wageni wa Msikiti Mkuu wa Makka.
Habari ID: 3479966    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Huku Mahujaji kutoka nchi mbalimbali wakiendelea kuwasili, takriban Misahafu mipya 80,000 imewekwa kwenye rafu za Msikiti Mkuu wa Makkah au Masjid al-Haram.
Habari ID: 3475410    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22

TEHRAN (IQNA)- Mijumuiko mkiubwa ya futari itaruhusiwa tena katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid Al Haram katika mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kuzuiwa kwa muda wa miaka miwili kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3475045    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/15

TEHRAN (IQNA) – Waumini katika Msikiti Mkuu wa Makkah Jumapili walisali Sala ya Alfajiri bila kuzingatia kanuni ya corona ya kutokaribiana ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo baada ya muda mrefu.
Habari ID: 3475017    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/07

Kundi la magaidi na wakufurishaji wa ISIS (Daesh) kwa mara nyingine wametishia kuibomoa al-Ka'aba katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3353091    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/27

Wizara ya Afya ya Saudi Arabia imeanzisha kampeni maalumu ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola katika kipindi hiki cha kuanza msimu wa Hija.
Habari ID: 1450843    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/16