Sheikh Ahmad Tayyib, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri amesema chuo hicho kitaanzisha televisheni ya satalaiti itakayorusha matangazo kwa lugha za Kiingereza na Kifaransa ili kuwasilisha taswira sahihi ya Uislamu katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3470343 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/29
Sheikhe Mkuu wa Al Azhar
Sheikhe Mkuu wa Chuo cha al Azhar nchini Misri, Dk Ahmad Muhammad al Tayyib amesema kuwa, kwa mujibu wa aya ya 32 ya Suratul Maida ya Qur'ani Tukufu, dini ya Kiislamu inapiga marufuku kumshambulia mwanadamu yeyote kutoka dini yoyote ile.
Habari ID: 3470327 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/21