TEHRAN (IQNA) – Bunge la Seneti nchini India limepitisha muswada wa sheria ambayo inawapa uraia wahajiri kutoka Pakistan, Bangladesh na Afghanistan lakini kwa sharti kuwa wasiwe Waislamu.
Habari ID: 3472272 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/12
Kufuatia Hukumu ya Mahakama
TEHRAN (IQNA) Mahakama Kuu ya India imewapokonya Waislamu ardhi ya Msikiti wa kihistoria wa Babri na kuwakabidhi Mabiniani (Wahindi) eneo hilo ili wajenge hekalu lao.
Habari ID: 3472207 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/09
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema anasikitishwa na hali waliyonayo Waislamu wa eneo la Kashmir nchini India.
Habari ID: 3472095 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/22
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amefanya mazungumzo ya simu na Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky aliyepelekwa India kwa ajili ya matibabu.
Habari ID: 3472085 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/15
TEHRAN (IQNA) – Katika kipindi cha siku kadhaa sasa kumeibuka uhasama mkubwa baina ya India na Pakistan na kuna hatari ya kuibuka vita kamili baina ya madola hayo mawili yenye makombora ya nyuklia.
Habari ID: 3471856 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/28
Katika Sala ya Ijumaa Hyderabad, India
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3471393 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/16
TEHRAN (IQNA)-Jengo la Taj Mahal nchini India, moja kati ya Maajabu Saba ya Dunia, na ambalo huwavutia watalii wasiopungua milioni sita kwa mwaka limeondolewa katika orodha ya vivutio vya kitalii kwa sababu ni turathi ya Kiislamu.
Habari ID: 3471210 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/10
TEHRAN (IQNA)-Zakir Naik, mhubiri wa Kiwahhabi mwenye utata amepokonywa pasi yake ya kusafiria na serikali ya India.
Habari ID: 3471075 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/19
Waziri Mkuu wa India safarini Tel Aviv
TEHRAN (IQNA)-Narendra Modi, Waziri Mkuu wa India anatembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel na kukutana na wakuu wa utawala huo wa Kizayuni lakini hatakutana na viongozi wa Palestina.
Habari ID: 3471051 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/05
Serikali ya India inapanga kupiga marufuku Taasisi ya Utafiti wa Kiislamu (IRF) inayosimamiwa na mhubiri mwenye utata wa pote la Kiwahhabi, Zakir Naik.
Habari ID: 3470639 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/28
Zaidi ya watu 44 wameuawa kufikia Jumanne katika mapigano yalianza Julai 9 katika eneo la Kashmir linalidhibitiwa na India.
Habari ID: 3470465 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/19
Kampeni ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu na umaanawi inaendelea kote nchini India katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470380 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/12
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amemzawadia Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei nakala ya kale ya Qur'ani inayonasibishwa na Imam Ali Ali AS.
Habari ID: 3470333 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema nchi za Waislamu zinapaswa kupewa jukumu la vita dhidi ya ugaidi kwani ugaidi unanasibishwa kimakosa na Uislamu.
Habari ID: 3470332 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24
Maulamaa Waislamu zaidi ya 1,000 nchini India wametoa Fatwa ya pamoja kulaani na kupinga kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na kusema harakati za kundi hilo ni dhidi ya mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3361079 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/10
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04