Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa. 
                Habari ID: 3339755               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/08/07
            
                        
        
        Machafuko yameibuka leo Jumapili katika Msikiti wa Al Aqsa, eneo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu, mjini Quds (Jerusalem) siku mbili tu baada ya mtoto mchanga Mpalestina kuchomwa moto na kuuawa na walowezi wa Kiyahudi.
                Habari ID: 3338073               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/08/02
            
                        Mufti Mkuu wa Quds
        
        Mufti Mkuu wa Palestina ametoa wito wa kuhukumiwa wakuu wa wutawala wa Kizayuni wa Israel katika duru za kimataifa.
                Habari ID: 3335935               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/07/27
            
                        
        
        Vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeuvamia Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu. Kufuatia hujuma hiyo ya mapema Jumapili asubuhi, kumeibuka mapigano baina ya polisi ya Israel na Waislamu waliokuwa ndani ya msikiti huo mtakatifu. 
                Habari ID: 3335481               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/07/26
            
                        
        
        Kikao cha kimataifa cha qiraa ya Qur'ani Tukufu imefanyika mjini Cape  Town, Afrika Kusini na kuhudhuriwa na maqarii kutoka Misri, Iraq, Sudan na Malaysia.
                Habari ID: 3328819               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/07/16
            
                        
        
        Baraza la Kizayuni la mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu limepitisha mpango wa kuyavunjia heshima na kuyabomoa makaburi ya Waislamu katika mji huo.
                Habari ID: 3328606               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/07/15
            
                        Ali Larijani
        
        Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, Ali Larijani amesema lengo kuu la nchi za Magharibi ni kuangamiza Uislamu na njama hiyo ilianzishwa Palestina.
                Habari ID: 3326323               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/07/11
            
                        
        
        Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran mwaka huu yamekuwa makubwa na mapana zaidi kuliko miaka iliyopita. 
                Habari ID: 3326322               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/07/11
            
                        
        
        Moja ya mafanikio makubwa ya Mapinduzi ya Kiislamu ni kuifanya kadhia ya Palestina kuwa kadhia nambari moja katika ulimwengu wa Kiislamu. 
                Habari ID: 3325960               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/07/09
            
                        Ayatullah Muhsin Araki
        
        Waislamu duniani wametakiwa wasisahau kadhia ya kupigania ukombozi wa Palestina katika kipindi hiki ambapo wengi wanajishughulisha na tatizo sugu la ugaidi na jinai zinazotekelezwa na kundi la kigaidi na kitakifiri la Daesh au ISIS.
                Habari ID: 3322212               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/07/01
            
                        
        
        Waislamu takribani 350,000 wameshiriki katika sala ya Ijumaa ya pili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika msikiti wa Al Aqsa katika Quds Tukufu.
                Habari ID: 3320171               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/06/27
            
                        
        
        Kikao cha kumi cha kamati ya kudumu inayohusika na masuala ya utamaduni na habari ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuhusu nafasi ya vijana na vyombo vya habari katika kudumisha amani na uthabiti katika Ulimwengu wa Kiislamu kimefanyika Dakar, mji mkuu wa Senegal. 
                Habari ID: 3233866               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/04/30
            
                        
        
        Walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Baitul Maqdis.
                Habari ID: 2891642               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/02/24
            
                        Katibu Mkuu wa OIC
        
        Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC amesema kuwa, Waislamu wote wana haki ya kuingia katika msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
                Habari ID: 2677828               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/01/06
            
                        
        
        Kufuatia kuongezeka na kuenea malalamiko ya Wapalestina katika mji wa Quds (Baitul Maqdis) unaokaliwa kwa mabavu, Ghaza na Ukingo wa Magharibi hivi sasa Wapalestina wanaoishi katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu, yaani Israel, nao pia wameandamana.
                Habari ID: 1471813               Tarehe ya kuchapishwa            : 2014/11/10
            
                        
        
        Ghasia na machafuko mapya yamezuka kati ya askari wa utawala wa kizayuni wa Israel na waandamanaji wa Palestina katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel baada ya utawala huo kufunga Msikiti mtukufu wa al Aqsa.
                Habari ID: 1470536               Tarehe ya kuchapishwa            : 2014/11/06
            
                        
        
        Sheikh Bilal Shaaban Katibu Mkuu wa chama cha  Hizb Tauhid Islami nchini Lebanon amejiunga na wapenda uhuru na haki duniani katika kulaani vikali hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel kufunga milango ya Msikiti wa Al Aqsa na kuwazuia Waislamu kuswali ndani ya msikiti huo.
                Habari ID: 1466340               Tarehe ya kuchapishwa            : 2014/11/01
            
                        
        
        Mahmoud Abbas Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameahidi kuchukua hatua za kisheria kuzuia walowezi wa Kizayuni kuuvuamia Msikiti wa Al Aqsa katika Baitul Muqaddas. 
                Habari ID: 1461999               Tarehe ya kuchapishwa            : 2014/10/20
            
                        
        
        Mufti wa Quds na Ardhi za Palestina Sheikh Muhammad Hussein amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh limefanya matendo yanayopotosha sura ya Uislamu na ni tishio kwa Umma wa Kiarabu na Waislamu.
                Habari ID: 1450406               Tarehe ya kuchapishwa            : 2014/09/15
            
                        Rais Hassan Rouhani
        
        Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sawa na siku za huko nyuma itatumia uwezo wake wote kwa ajili ya kuukomboa mji wa Quds na Msikiti wa Al Aqsa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu sambamba na kulisaidia taifal linalodhulumiwa la Palestina. 
                Habari ID: 1445555               Tarehe ya kuchapishwa            : 2014/09/01