iqna

IQNA

Katika Mkutano wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu Morocco
IQNA:Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.
Habari ID: 3470852    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/16

IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana ya Sala ya Alfajiri katika misikiti mitatu iliyo katika mji wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470658    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/06

Balozi wa Iran nchini Tanzania anayeondoka
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania ambaye muda wake umemalizika amesema, kadhia ya kukombolewa Quds Tukufu ni kadhia muhimu zaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu na miongoni mwa watetezi wa uhuru duniani.
Habari ID: 3470622    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/20

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limethibitisha tena kwamba msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu ni milki ya Wapalestina.
Habari ID: 3470620    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/19

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limepitisha azimio na kusema Msikiti wa Al Aqsa ni milki ya Waislamu kwamba Mayahudi hawana haki katika msikiti huo.
Habari ID: 3470611    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14

Kamandi ya Majeshi yote ya Iran imetoa wito kwa wote katika ulimwengu wa Kiislamu kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa hii.
Habari ID: 3470419    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28

Magenge ya walowezi wa Kizayuni wakiwa chini ya humaya ya askari wa utawala haramu wa Israel Jumpili wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470363    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/06

Genge la Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakipata himaya ya askari wa utawala haramu wa Israel wameuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3470347    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/30

Wanajeshi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza hujuma zao za kidhalimu dhidi ya Wapalestina kwa kuuhujumu Msikiti katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3457989    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29

Mkuu wa kundi kubwa zaidi la Mayuhudi wanaoishi Amerika ya Kaskazini amekosoa sera potofu za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3444264    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07

Amnesty yalaani ukatili wa Israel
Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameishambulia hospitali katika wa Quds, inaoukalia kwa mabavu, baada ya wakuu wa hospitali hiyo kukataa kutoa taarifa kuhusu Wapalestina waliotibuwa hapo.
Habari ID: 3415418    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/30

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limekosoa uchokozi wa wazi wa utawala haramu wa Israel katika ardhi za Wapalestina unazozikalia kwa mabavu hasa katika msikiti wa al Aqsa ulio katika mji Quds au Jerusalem.
Habari ID: 3391462    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/21

Mufti wa Quds na ardhi za Palestina amewataka Wapalestina kushikamana kwa ajili ya kukabiliana na njama na hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3365951    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/21

Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama kujadili hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds.
Habari ID: 3365554    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/20

Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleaza hujuma dhidi ya msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3365118    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/19

Utawala haramu wa Israel umeamuru kubomolewa milki tatu zaidi za Wapalestina, ukiwemo msikiti mmoja ulioko Quds Mashariki.
Habari ID: 3351059    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/24

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuhusu udharura wa umoja baina ya Waislamu ili kukabiliana na njama hatari za utawala haramu wa Israel za kuubomoa Msikiti wa Al Aqsa katika Mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3349556    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21

Kutokana na pendekezo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa ajili ya kuenzi Msikiti wa kihistoria wa al Aqsa, tarehe 21 Agosti imetangazwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Msikiti.
Habari ID: 3349544    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21

Katibu Mkuu wa Baraza la Kiislamu na Kikristo la Kutetea Quds Tukufu amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo cha machafuko na ghasia katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3342896    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/14

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3339755    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07