quds - Ukurasa 3

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Katika kampeni iliyoitwa 'Hands Off Al-Aqsa Mosque' (Achaneni na Msikiti wa Al Aqsa), Baraza la Ushauri la Malaysia la Mashirika ya Kiislamu (Mapim) na mashirika 43 yasiyo ya kiserikali (NGOs) yameonyesha mshikamano wao na Wapalestina.
Habari ID: 3475163   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Afrika umelaani hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) na Ukanda wa Gaa sambamba na kusisitiza uungajo mkono wake kwa watu wa Palestina.
Habari ID: 3475160   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/23

Uchambuzi
TEHRAN (IQNA)- Siku ya Ijumaa alfajiri, askari wa utawala haramu wa Israel waliwashambulia Wapalestina ndani ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) ambapo zaidi ya waumini 160 wamejeruhiwa. Jinai hiyo imewapa Wapalestina irada ya kuimarisha mapambano yao dhidi ya adui Mzayuni mtenda jinai.
Habari ID: 3475134   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/17

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel mapema leo wameuvamia Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) na kuwajeruhi waumini Wapalestina ikiwa ni katika muendelezo wa uchokozi unaotolezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475128   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/15

TEHRAN (IQNA) - Mbunge wa Palestina anasema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuiba ardhi ya Wapalestina huko Quds (Jerusalem) haibadilishi ukweli wa mambo.
Habari ID: 3475005   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/04

Kiongozi wa Jihad Islami
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa, harakati za kupigania ukombozi wa Palestina zimepata nguvu na kuuimarika kuliko wakati wowote ule huku adui akidhoofika kuliko kipindi chochote na kwamba Wapalestina wako tayari kupambana na utawala ghasibu wa Israel kuukomboa mji wa Quds (Jerusalem) na msikiti wa Al Aqsa mjini humo.
Habari ID: 3474991   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/01

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo kali kwa utawala haramu wa Israel baada ya walowezi wake wa Kizayuni kuwashambulia tena Wapalestina katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474925   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/13

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 25,000 wamestahamili baridi kali na kushiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474860   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28

TEHRAN (IQNA)- Naila Sabri ni mwanamke Mpalestina ambaye ameandika Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ijulikanayo kama Tafsir al-Mubsir li-Nur al-Quran na hatua yake hiyo imepongezwa kuwa ni mafanikio makubwa kwa Wapalestina.
Habari ID: 3474849   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ahmad El Tayyib, Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amefanya mazungumzo ya simu na Mfalme Abdallah wa Pili wa Jordan.
Habari ID: 3474829   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/20

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lipitishe azimio la kulaani kitendo cha Marekani cha kumuua kamanda wa Iran aliyeongoza vita dhidi ya ugaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani ili kwa njia hiyo kulinda amani na kimataifa na haki za binadamu.
Habari ID: 3474756   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/02

TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuanza sherehe za maadhimisho ya mwaka wa 34 tangu kuasisiwa kwake.
Habari ID: 3474647   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/06

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa Palestina wametaka Shirika la Umoja wa Mtaifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) lianzishe uchunguzi kuhusu uchimbuaji unaofanywa kinyume cha sheria na Israel katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474644   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/05

TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) pamoja na kuwepo vizuizi vilivyokuwa vimewekwa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia ardhi hiyo ya Palestina kwa mabavu.
Habari ID: 3474635   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/03

TEHRAN (IQNA)- Walowezi wa Kizayuni Alhamisi wamepachika alama kubwa ya Kiyahudi ijulikanayo kama Menorah katika paa la msikiti wa kihistoria katika kijiji cha An-Nabi Samwil,kaskazini magharibi mwa mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474608   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/27

TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umeidhinisha ujenzi haramu wa nyumba 3000 za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zilizoghusubiwa na kukoloniwa na utawala huo katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem)
Habari ID: 3474597   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25

TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), amesema muqawama au mapambano ndio njia bora zaidi ya kukomboa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474447   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/20

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nyumba ya Sheikh Ikrima Sabri na kusisitiza kuhusu mshikamano wa Wapalestina katika kutetea Mji wa Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Al Aqsa ulio mjini humo.
Habari ID: 3474409   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11

TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) amesisitiza kuwa, hatua ya Wazayuni ya kung'ang'a kuingia kinyume cha sheria katika Msikiti wa al-Aqsa inaweka wazi njama zao za kutaka kutwisha uhakika mpya kuhusiana na kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
Habari ID: 3474335   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/24

TEHRAN (IQNA) - Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel, na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
Habari ID: 3474305   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17