TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa nchi 90 wanatazamiwa kushiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai.
Habari ID: 3471930 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/27
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 61 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia yalimalizika Jumamosi usiku kwa kutunukiwa zawadi washindi.
Habari ID: 3471926 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/23
TEHRAN (IQNA)-Qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya ambaye ameshiriki katika Mashindano 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amesema mashindano hayo yanaimarisha umoja baina ya Waislamu.
Habari ID: 3471920 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu hawatekelezi maamrisho ya Qur'ani na ni vibaraka wa Marekani na Wazayuni.
Habari ID: 3471918 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/16
Mwanafunzi wa Kenya aliyeshika nafasi ya kwanza
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ya kiwango cha juu sana ikilinganishwa na mashindano mengine yote duniani, amesema Abdulalim Abdulrahim Haji kutoka Kenya ambaye ameshika nafasi ya kwanza ya mashindano ya kuhifadhi Qur'ani maalumu kwa wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3471917 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/15
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran yamemalizika leo nchini Iran kwa kutangazwa washindi ambapo mwanafunzi kutoka Kenya ni miongoni mwa washindi.
Habari ID: 3471916 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/14
Qarii mashuhuri wa Tanzania Ustadh Rajayi Ayoub
TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka nchini Tanzania Ustadh Rajayi Ayoub amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ni fursa muhimu ya kuleta umoja miongoni mwa Waislamu duniani.
Habari ID: 3471915 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/13
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran maalumu kwa ajili ya wanawake yamemalizika Ijumaa mjini Tehran.
Habari ID: 3471914 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/13
TEHRAN (IQNA)- Fainali za Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeanza rasmi Jumatano alasiri katika halfa iliyofanyika mjini Tehran.
Habari ID: 3471909 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/10
TEHRAN (IQNA) – Nchi 27 zitawakilishwa katika Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3471905 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/08
TEHRAN (IQNA) – Washiriki wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameanza kuwasili nchini.
Habari ID: 3471904 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/08
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya Qur'ani ya watoto walemavu yamefanyika nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3471839 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/13
TEHRAN (IQNA)-Fainali za Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu zimepangwa kuanza mjini Tehran kuanzia Aprili 10.
Habari ID: 3471831 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/05
TEHRAN (IQNA)-Fainali ya Mashindano ya 22 ya Qur'ani ya Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yameanza mjini humo Ijumaa.
Habari ID: 3471819 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/26
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar kimetangaza masharti kwa wanaotaka kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yanayaondaliwa na chuo hicho katika mwaka huu wa 1440 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3471796 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/03
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Tunisia wametangazwa na kutunukiwa zawadi zao.
Habari ID: 3471772 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/15
TEHRAN (IQNA)- Usajili umeanza kwa wanaotaka kushiriki katika duru ya 20 ya mashindano ya kimataifa ya Dubai nchini UAE ambayo rasmi yanajulikana kama Mashindano ya Qur'ani ya Sheikha Hind Bint Makhtoum.
Habari ID: 3471768 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/12
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya pili ya Mashindano ya Qur'ani ya Majeshi ya Iraq wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3471754 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/28
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya walemavu wa macho yamemalizika Jumapili mjini Tehran kwa kuteuliwa wawakilishi wa Iran katika Awamu ya Nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho.
Habari ID: 3471731 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/06
TEHRAN (IQNA)- Awamu ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3471730 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/05