iqna

IQNA

IQNA – Toleo la tatu la Mashindano ya Kimataifa ya Ulaya ya Kuhifadhi Qur’ani kwa washiriki wa umri mkubwa limehitimishwa mjini Rijeka, Croatia, ambapo Muhammad Abdi kutoka Sweden (Uswidi) alitwaa nafasi ya kwanza.
Habari ID: 3480717    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21

IQNA – Mashindano ya kuhifadhi Qur’ani yalifanyika mjini Damaturu, mji mkuu wa jimbo la Yobe nchini Nigeria, siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3480701    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18

IQNA – Washiriki wa baraza la utungaji sera kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wametangazwa.
Habari ID: 3480678    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13

IQNA – Mkutano umefanyika Tehran Jumatatu ili kujadili mikakati ya kuendeleza vipengele vya kimataifa vya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. 
Habari ID: 3480648    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06

IQNA – Nigeria inapanga kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu na kushirikisha maqari wa Qur’ani kutoka nchi 20.
Habari ID: 3480632    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03

IQNA – Wanaharakati  wa Qur'ani kutoka nchi 50 hadi sasa wamejisajili kushiriki katika toleo la nne la shindano la kimataifa la Qur'ani huko Karbala, Iraq. 
Habari ID: 3480616    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/30

IQNA-Wawakilishi wawili wa Iran katika mashindano ya 13 ya kimataifa ya Qur’an yaliyoendeshwa Libya walishiriki vikao vya mzunguko wa awali kupitia mtandao.
Habari ID: 3480595    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/26

IQNA – Washindi wa mashindano ya tuzo za Qur’ani nchini Kuwait walitunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumanne.
Habari ID: 3480585    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/23

IQNA – Kamati ya maandalizi ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Lebanon yanayojulikana kama "Dhikr lil-Alamin" imetangaza washindi wa kitengo cha qiraa.
Habari ID: 3480573    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/21

IQNA – Mchujo wa awali wa mashindano makubwa zaidi ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika ukanda wa Balkan umekamilika huko Bosnia na Herzegovina.
Habari ID: 3480569    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/20

IQNA – Kadri maandalizi ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu yanavyoendelea, tarehe ya mwisho kwa washiriki wa sehemu ya Teknolojia na Ubunifu Kuhusu Qur’ani inakaribia.
Habari ID: 3480534    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13

IQNA – Toleo la pili la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya "Wa Rattil," yaliyoandaliwa  na Thaqalayn TV, limehitimishwa mwishoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, likiwashirikisha washiriki kutoka mataifa mbalimbali wakiwania nafasi za juu. 
Habari ID: 3480485    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02

IQNA – Watu wawili kutoka Morocco wamepata nafasi za juu katika Mashindano ya 8 ya Katara ya Usomaji wa Qur'ani, yaliyofanyika nchini Qatar
Habari ID: 3480466    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/29

IQNA- Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'an nchini Jordan yamefikia tamati kwa kutangaza washindwa na kutunukukiwa zawadi waliofika nafasi za juu.
Habari ID: 3480465    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/29

IQNA – Mashindano ya Qur'ani kwa watoto yamefanyika Charlotte, jimbo la North Carolina, Marekani katika Mwezi Mtukufu  Ramadhani. 
Habari ID: 3480440    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/26

IQNA – Hossein Khani Bidgoli kutoka Iran amesema alikuwa na furaha na jinsi alivyofanya katika Mashindano ya 32 ya kimataifa ya Qur'ani ya Jordan.
Habari ID: 3480420    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/23

IQNA – Mashindano ya Qur'ani nchini Tanzania hivi karibuni yalimalizika katika hafla mbili, moja kwa wanaume na nyingine kwa wanawake, ambapo washindi wa juu katika makundi tofauti walitunukiwa zawadi. 
Habari ID: 3480390    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/17

IQNA – Washindi wakuu wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Somalia wametunukiwa zawadi katika hafla iliyohudhuriwa na Rais Hassan Sheikh Mohamud.
Habari ID: 3480377    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/15

IQNA – Washindi wa Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Emirates wamehimizwa kuishi kwa kufuata maadili ya Qur’ani na kuwa vielelezo bora katika jamii zao.
Habari ID: 3480335    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/09

IQNA – Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn imezindua toleo la pili la mashindano ya usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa Tarteel kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480327    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/08