Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itakuwa na wawakilishi watatu katika toleo la 13 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Kuwait.
Habari ID: 3479746 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Ali Gholamazad ambaye anaiwakilisha Iran katika toleo la kwanza la Tuzo la Kimataifa la Qur'ani la Iraq amesema amefurahishwa na jinsi alivyofanya vyema katika shindano hilo.
Habari ID: 3479740 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani ya Bin Faqeeh yalianza Jumamosi katika Kituo cha Kiislamu cha Ahmed Al Fateh, na hivyo kuashiria hatua ya kwanza ya mashindano katika kitengo kipya cha Tafsiri ya Qur'ani kwa washiriki wa kiume.
Habari ID: 3479735 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11
IQNA - Sherehe za kufunga Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow zilifanyika tarehe 8 Novemba 2024, katika Hoteli ya Cosmos katika mji mkuu wa Russia. Washiriki bora walitunukiwa katika hafla hiyo.
Habari ID: 3479732 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la kwanza la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iraq, ambayo ni maarufu kama Tuzo ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iraq, yameanza Jumamosi huko Baghdad, kwa kushirikisha washindani, majaji, na maafisa wa Iraqi.
Habari ID: 3479730 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Maustadh wawili mashuhuri wa Qur'ani wa Misri ni miongoni mwa wajumbe wa jopo la majaji katika mashindano ya kwanza ya kimataifa ya Qur'ani nchini Iraq.
Habari ID: 3479728 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow yamekamilika katika hafla iliyofanyika katika mji mkuu wa Russia ambapo washindi wakuu walitunukiwa zawadi ambapo hafidh wa Qur'ani kutoka Libya ameshika nafasi ya kwanza.
Habari ID: 3479727 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10
IQNA - Tuzo la 13 la Kimataifa la Qur'ani la Kuwait, linaloshirikisha mashindano ya kuhifadhi, qiraa na Tajweed, litafanyika kuanzia Novemba 13 hadi 20, 2024.
Habari ID: 3479723 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
Qurani
IQNA - Kuna wanaharakati wanne wa Qur'ani wa Iran wanaohudhuria mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iraq yaliyoanza mjini Baghdad siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3479722 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
Qiraa
IQNA - Qari wa Misri Ahmed al-Sayyid al-Qaytani alishika nafasi ya kwanza katika kategoria ya qiraa au usomaji Katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Uingereza wiki iliyopita.
Habari ID: 3479717 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jumla ya washiriki 31 kutoka nchi kadhaa wamepangwa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Iraq yanayojuikana Tuzo ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur'ani la Iraq.
Habari ID: 3479716 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe imefanyika nchini Uingereza kutangaza na kuwatunuku washindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479711 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06
IQNA - Mchakato wa kutathmini washiriki wa hatua ya awali ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran umeanza leo Jumanne, Novemba 5
Habari ID: 3479707 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Harakati za Qur'ani
IQNA - Seyed Parsa Angoshtan, qari wa Iran aliyeshika nafasi ya pili katika mashindano ya 9 ya kimataifa ya Qur'ani Uturuki mapema wiki hii amezungumza kuhusu hayo nay ale yanayofanyika nchini Iran.
Habari ID: 3479688 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02
Qari wa Qur'ani
IQNA - Wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki walishika nafasi za pili katika kategoria zao.
Habari ID: 3479675 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/31
IQNA – Maandalizi ya Mashindano ya 43 ya kitaifa ya Qur'ani, Etrat na Swala ya wanafunzi wa shule za Iran yameshika kasi kwa kuzinduliwa kwa mchakato wa usajili.
Habari ID: 3479665 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29
IQNA - Hatua ya awali ya mashindano ya uteuzi wa wawakilishi wa Misri katika toleo lijalo la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Port Said yamalizika.
Habari ID: 3479649 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/26
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itashiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani katika mji mkuu wa Urusi (Russia).
Habari ID: 3479626 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la kwanza la Mashindano ya Qur'ani Tukufu na Sunnah kwa nchi Afrika Magharibi yalimalizika nchini Mauritania kwa kufanyika sherehe ambapo washindi walitajwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3479622 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/20
IQNA - Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow yatafanyika katika mji mkuu wa Russia mwezi ujao.
Habari ID: 3479617 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19