Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mkuu wa Shirika la Wakfu na Misaada Iran amesema njia ya kuelewa ukamilifu na wokovu inapitia katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479922 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Baada ya shughuli za miezi kadhaa, Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yalifikia tamati katika hafla ya Alhamisi asubuhi.
Habari ID: 3479921 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19
Harakati za Qur'ani
IQNA – Qari wa ngazi za juu wa kike wa Qur’ani nchini Iran amesema mazingira ya kuunga mkono na ya kutia moyo yanayotolewa na wazazi yana jukumu muhimu katika kukuza talanta za Qur’ani kwa watoto.
Habari ID: 3479918 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18
Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani
IQNA – Kuna ushindani mkubwa katika fainali ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran na hivyo ni vigumu kutabiri washindi, mshindani mmoja alisema.
Habari ID: 3479909 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mshindi Qiraa ya Qur’ani katika kategoria ya wanawake katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema yeye hufanya mazoezi ya qiraa na kusoma tafsir kila usiku pamoja na familia yake.
Habari ID: 3479904 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15
Harakati za Qur'ani
IQNA - Msomaji wa Qur'ani wa kike wa Iran anasema kuelewa na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani ndio ufunguo wa kuepuka dhambi.
Habari ID: 3479895 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14
Mashindano ya Qur'ani Misri
IQNA - Washindi wa Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri wametangazwa rasmi katika hafla iliyofanyika jioni ya tarehe 10 Disemba.
Habari ID: 3479891 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/11
Harakati za Qur'ani
IQNA – Binti Muirani aliyehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu amesema kwamba katika kujifunza Quran kwa moyo, talanta au kipaji ni muhimu lakini muhimu zaidi ni uvumilivu na ustahamilivu.
Habari ID: 3479890 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Iran yalihitimisha sehemu zake za wanawake na wasichana chini ya umri wa miaka 18 kwa sherehe huko Tabriz, zilizofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 9 Disemba.
Habari ID: 3479883 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mhifadhi wa Qur'ani wa kike amesema Qur'ani imemjengea subira na ustahimilivu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.
Habari ID: 3479877 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yameanza jana kwa usomaji wa aya za Qur'ani na Sheikh Ahmed Nuaina katika Masjid Misr katika Mji Mkuu Mpya wa Utawala wa Misri.
Habari ID: 3479876 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08
Qur'ani Katika Maisha
IQNA – Mwanamke Muirani aliyehifadhi Qur'ani Tukufu amesema mtu ambaye amekumbatia uzuri wa Qur'ani Tukufu hawezi kuvumilia kutengwa nayo.
Habari ID: 3479872 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim ya Qatar yamefungwa Jumatano na washindi wakuu wakipokea zawadi kwa mafanikio yao.
Habari ID: 3479866 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06
IQNA - Qari wa Iran anayetambulika kimataifa Saeed Parvizi alisoma aya za Qur'ani wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3479851 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mji wa kaskazini-magharibi wa Tabriz ni mwenyeji wa hatua ya mwisho ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran, yaliyoanza kwa sherehe Jumatatu asubuhi.
Habari ID: 3479849 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri imesema mashindano ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani nchini humo yanalenga kuwaenzi wahifadhi Qur'ani na kuimarisha jukumu lao katika kukuza thamani za Qur'ani duniani.
Habari ID: 3479830 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/01
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya mwisho ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itaanza katika mji wa kaskazini-magharibi wa Tabriz Jumatatu, Disemba 2.
Habari ID: 3479811 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/26
Qur'ani Tukufu
IQNA - Mashindano ya 32 ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos yamefikia hatua yake ya mwisho, na awamu ya fainali imeanza tarehe 24 Novemba katika ukumbi wa mihadhara wa Msikiti Mkuu wa Sultan Qaboos huko Muscat, Oman.
Habari ID: 3479806 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/25
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Afisa mmoja wa Iran amesema mashindano ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran yana idadi kubwa zaidi ya washiriki kati ya matukio ya kimataifa ya Qur'ani katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3479791 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/22
Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani
IQNA - Jumuiya ya Masuala ya Wakfu na Misaada Iran imetangaza waliofuzu katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Iran.
Habari ID: 3479772 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/18