iqna

IQNA

Qurani
IQNA - Kuna wanaharakati wanne wa Qur'ani wa Iran wanaohudhuria mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iraq yaliyoanza mjini Baghdad siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3479722    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09

Qiraa
IQNA - Qari wa Misri Ahmed al-Sayyid al-Qaytani alishika nafasi ya kwanza katika kategoria ya qiraa au usomaji Katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Uingereza wiki iliyopita.
Habari ID: 3479717    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jumla ya washiriki 31 kutoka nchi kadhaa wamepangwa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Iraq yanayojuikana Tuzo ya Kwanza ya  Kimataifa ya Qur'ani la Iraq.
Habari ID: 3479716    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe imefanyika nchini Uingereza kutangaza na kuwatunuku washindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479711    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06

IQNA - Mchakato wa kutathmini washiriki wa hatua ya awali ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran umeanza leo  Jumanne, Novemba 5
Habari ID: 3479707    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05

Harakati za Qur'ani
IQNA - Seyed Parsa Angoshtan, qari wa Iran aliyeshika nafasi ya pili katika mashindano ya 9 ya kimataifa ya Qur'ani Uturuki mapema wiki hii amezungumza kuhusu hayo nay ale yanayofanyika nchini Iran.
Habari ID: 3479688    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02

Qari wa Qur'ani
IQNA - Wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki walishika nafasi za pili katika kategoria zao.
Habari ID: 3479675    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/31

IQNA – Maandalizi ya Mashindano  ya 43 ya kitaifa ya Qur'ani, Etrat na Swala ya wanafunzi wa shule za Iran yameshika kasi kwa kuzinduliwa kwa mchakato wa usajili.
Habari ID: 3479665    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29

IQNA - Hatua ya awali ya mashindano ya uteuzi wa wawakilishi wa Misri katika toleo lijalo la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Port Said yamalizika.
Habari ID: 3479649    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/26

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itashiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani katika mji mkuu wa Urusi (Russia).
Habari ID: 3479626    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la kwanza la Mashindano ya Qur'ani Tukufu na Sunnah kwa nchi Afrika Magharibi yalimalizika nchini Mauritania kwa kufanyika sherehe ambapo washindi walitajwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3479622    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/20

IQNA - Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow yatafanyika katika mji mkuu wa Russia mwezi ujao.
Habari ID: 3479617    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19

Mashindano ya Qur'ani na Sunna
IQNA - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani na Sunnah kwa nchi za Afrika Magharibi yalianza Jumanne na  nchini Mauritania.
Habari ID: 3479603    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mauritania imeratibiwa kuandaa mashindano ya Qur'ani kwa nchi za Afrika Magharibi kuanzia Jumanne.
Habari ID: 3479594    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14

IQNA - Hamid Majidimehr ameteuliwa kuwa mkuu wa kamati ya maandalizi ya toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3479593    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14

IQNA - Ukumbi wa Kituo cha Biashara Cha Dunia huko Kuala Lumpur kilikuwa mwenyeji wa sherehe za kufunga Mashindano ya 64 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia Jumamosi usiku, Oktoba 12, 2024.
Habari ID: 3479589    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mashidano ya 64 Kimataifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani ya Malaysia yamemalizika Jumamosi huku washindi wakitunukiwa zawadi.
Habari ID: 3479583    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Vigezo vinavyotumiwa na majaji katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia vimeimarika mwaka huu, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479581    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/12

IQNA - Siku ya sita ya Mashindano ya Kimataifa la Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Malaysia (MTHQA) yameendelea tarehe 10 Oktoba 2024, huku makumi ya washindani wakipanda jukwani.
Habari ID: 3479578    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/12

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mfalme na Malkia wa Malaysia wameandaa hafla ya chai ili kuwaenzi washiriki na majaji wa Mkutano wa 64 wa Kimataifa wa Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani ya Malaysia (MTHQA).
Habari ID: 3479568    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/10