IQNA

Mashindano ya Qur'ani

Qiraa iliyoshinda Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran

20:15 - December 20, 2024
Habari ID: 3479928
IQNA – Seyed Jassem Mousavi alishinda zawadi ya juu zaidi ya kategoria ya qiraa katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran huko Tabriz siku ya Alhamisi.

Ifuatayo ni qiraa ya yake ya aya za Surah At-Tawbah kwenye fainali ya mashndano hayo siku ya Jumatano, ambapo aliibuka mshindi.

Habari zinazohusiana
captcha