iqna

IQNA

Idadi ya nakala za Qur'ani Tukufu zilizouzwa nchini Ufaransa baada ya mashambulizi ya kigaidi yaliyolenga ofisi za jarida la kila wiki la Charlie Hebdo lililochapisha vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) imeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Habari ID: 2809494    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04

Mahafidhi 60 wa Qur'ani Tukufu, wanawake kwa wanaume, wameenziwa katika mkoa wa Qena ulioko kusini mwa Misri.
Habari ID: 2802772    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/03

Mashindano ya Qur'ani makhsusi kwa ajili ya Waislamu wapya yamepangwa kufanyika tarehe 30 Novemba katika mji mkuu wa Brunei, Bandar Seri Begawan.
Habari ID: 1473496    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/15

Ajuza mwenye umri wa miaka 70 amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani nzima baada ya juhudi kubwa za miaka 15.
Habari ID: 1460246    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/14

Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameshika nafasi ya pili katika mashindano ya Qur'ani ya kimataifa nchini Russia.
Habari ID: 1452134    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/21

Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani yaliyowashirikisha mahafidh 1800 wa Qur'ani Tukufu yamefanyika katika mji wa Islamabad nchini Pakistan.
Habari ID: 1452131    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/21

Mtangazaji wa kanali ya televisheni ya CBC ya Misri ametoa matamshi machafu na ya dharau akidai kuwa ni upuuzi kufundisha muujiza wa Qur'ani na Suna za Mtume katika shule za nchi hiyo.
Habari ID: 1448156    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/08

Idara inayosimamia masuala ya Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume (saw) mjini Madina imegawa nakala milioni moja za tarjumi za Qur'ani kwa lugha 41 katika Masjidul Haram kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1426540    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/06

Waziri wa Masuala ya Kidini na Wakfu wa Algeria ametangaza kuwa nchi 43 zitashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yaliyopangwa kufanyika nchini humo.
Habari ID: 1422666    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/25

Habari iliyochapishwa na gazeti la al Umanaa la Yemen kwamba rais wa zamani wa nchi hiyo Ali Abdullah Saleh alitwaa na kuchukua nakala ya Qur'ani iliyoandikwa kwa hati za mkono inayonasibishwa kwa Imam Ali bin Abi Twalib (as) imezusha mjadala mkubwa nchini humo.
Habari ID: 1377495    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19

Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu imelifungulia mashtaka gazeti la Charlie Hebdo la Ufaransa kwa sababu ya kuchapisha makala inayovunjia heshima kitabu kitakatifu cha Mwenyezi Mungu, Qur'ani na matukufu mengine ya Kiislamu.
Habari ID: 1377494    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19