wa

IQNA

Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amewasilisha kwenye Baraza Kuu la umoja huo rasimu ya azimio lililopendekezwa na Jamhuri ya Kiislamu la 'dunia isiyo na ukatili na vitendo vya kufurutu mpaka'.
Habari ID: 3462298   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/12

Taasisi moja ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imetaka mwanazuoni mashuhuri wa Bahrain aachiliwe huru kwani anashikiliwa kinyuma cha sheria na utawala wa Aal Khalifa.
Habari ID: 3444271   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07

Umoja wa Mataifa umelaani hatua ya baadhi ya wanazuoni wa Saudi Arabia ya kutangaza kile walichotaja kuwa Jihad dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Wakristo nchini Syria.
Habari ID: 3385681   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekataa kuuweka utawala haramu wa Israel kwenye orodha ya makundi na watu wanaowaua watoto kiholela duniani.
Habari ID: 3312544   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/09

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio linaloitaka serikali ya Myanmar kuwapa haki kamili ya uraia Waislamu wa Rohingya.
Habari ID: 2663155   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/01

Umoja wa Mataifa umeulaumu vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kubomoa nyumba za Wapalestina katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi na kusema kuwa, kitendo hicho ni ukiukaji wa haki za kimsingi kabisa za binadamu.
Habari ID: 2615266   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/05

Ayatullahil Udhma Nasser Makarem Shirazi mmoja wa maulama na wanazuoni wakubwa nchini Iran amekosoa vikali siasa za kindumakuwili za baadhi ya madola ya Mashariki ya Kati kuhusiana na matukio ya eneo hili likiwemo suala la kundi la kigaidi la Daesh.
Habari ID: 2614519   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/02