Ibada ya Hija na Umrah
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Iraq Musafa al Kadhimi ametekeleza Hija ndogo ya Umrah akiwa katika ziara rasmi nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475429 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/26
Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Alkhamisi tarehe 26 Mei, 2022, Bunge la Iraq lilipasisha kwa kauli moja sheria ya kutambua kuwa ni uhalifu, hatua yoyote ya kuweka uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475306 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya waumini wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr katika eneo lililo baina ya Haram Mbili Takatifu za Imam Hussein AS na Hadhrat Abbas AS linalojulikana kama Bayn al-Haramayn katika mjini Karbala, Iraq.
Habari ID: 3475203 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04
Hadi al-Amiri
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Muungano wa Fat'h nchini Iraq amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel ni hatua ambayo haikubali kwa namna yoyote ile.
Habari ID: 3475189 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/30
TEHRAN (IQNA)-Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq imeandaa mpango maalumu kwa ajili ya wanafunzi Waafrika wanaosoma katika vyuo vya Kiislamu mjini Najaf.
Habari ID: 3474959 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/22
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Iraq ametoa mkono wa pongezi kufuatia kuchaguliwa kwa mara ya pili Mohammed al Halbousi kuwa Spika mpya wa Bunge la Iraq katika duru ya pili ya utendaji wa bunge hilo.
Habari ID: 3474788 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10
TEHRAN (IQNA)- Rais Barham Salih wa Iraq amesema mashahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis walikuwa na nafasi muhimu sana katika vita dhidi ya magaidi nchini humo hasa magaidi wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474769 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya wananchi wa Iraq wamekusanyika katika sehemu ilipotokea jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad kwa mnasaba wa tarehe 3 Januari, na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa tangu kutokea jinai hiyo.
Habari ID: 3474761 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa matope uliojengwa katika zama za utawala wa Bani Ummaya umegunduliwa nchini Iraq.
Habari ID: 3474607 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/27
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema leo masuala ya Iraq na Afghanistan ni muhimu kwa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474545 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/12
TEHRAN (IQNA)- Wasomaji wawili maarufu wa Qur'ani Iraq, Ali Al Khafafi na Hani al Khazali hivi karibuni wamesambaza klipu wakiwa wanasoma Sura Al Fatiha na Sura Ad Dhuha kwa mbinu ya Lami Maqam
Habari ID: 3474531 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09
TEHRAN (IQNA)- Rais Barham Salih wa Iraq amelaani jaribio la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mustafa al-Kadhimi.
Habari ID: 3474526 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/07
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Qur’ani Tukufu kinachofungamana na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ali AS huko Najaf, Iraq kimeandaa mafunzo ya Qur’ani kwa ajili ya wanawake.
Habari ID: 3474501 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01
TEHRAN (IQNA)- Klipu ifuatayo inaangazia kwa kifupi maisha na nyakati za mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Shahidi Ayatullah Sayyid Muhammad Baqir al-Sadr.
Habari ID: 3474474 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/26
TEHRAN (IQNA)- Vyombo vya habari vya ulimwengu wa Kiislamu vinapaswa kuimarisha jitiahda zaidi kustawisha umoja wa Kiislamu, amesema msomi wa Iraq.
Habari ID: 3474461 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati wa Mapambano ya Kiislamu ya Al Nujabaa ya Iraq ametahadharisha kuwa wanajeshi wa Iraq watashambuliwa iwapo hawataondoka Iraq ifikapo mwisho wa mwaka huu wa 2021.
Habari ID: 3474456 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/22
TEHRAN (IQNA)- Sherehe za kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Milad un Nabii au Maulidi zimefanyika Jumapili jioni katika msikiti wa kihistoria wa Al Nuri nchini Iraq ambao unajengwa upya baada ya kuharibiwa vibaya na magaidi wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474438 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/18
TEHRAN (IQNA)- Duru ya tano ya uchaguzi wa Bunge nchini Iraq imefanyika huku uchaguzi huo ukiibua maswali matatu makuu na ya kimsingi kuhusiana na uchaguzi huo.
Habari ID: 3474419 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/13
TEHRAN (IQNA)- Sambamba na siku za Arubaini ya Imam Hussein AS, wasomaji Qur’ani Tukufu katika ngazi ya kimataifa wameshiriki katika vikao vya kusoma Qur’ani ambavyo vimeandaliwa na Shirika la Habari la IQNA chini ya kaulimbiu ya ‘Ya Hussein katika Mazingira ya Qur’ani’.
Habari ID: 3474357 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa mara nyingine tena imeishukuru serikali, makundi ya kisiasa, wazee wa koo na viongozi wa makabila ya Iraq, kwa msimamo wao wa kupinga kuanzishwa mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474355 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/28