Jinai za Israel
IQNA - Imamu wa Swala ya Ijumaa ya Baghdad amelaani kitisho cha utawala huo wa Israel cha kumuua mwanazuoni wa ngazi za juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Ali al-Sistani na kusema maelfu ya vijana wa Kiislamu Iraq wako tayari kuingia vitani kupambana na utawala huo wa Kizayuni na kuzima njama zake.
Habari ID: 3479587 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13
Muqawama
IQNA - Maandamano yamefanyika katika mji mkuu wa Iraq wa Baghdad siku ya Ijumaa kulaani jinai zinazoendelea za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479580 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/12
Jini za Israel
IQNA-Serikali ya Iraq imelaani vikali njama ya utawala haramu wa Israel ya kutaka kumuua kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Sayyid Ali Sistani.
Habari ID: 3479567 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09
Harakati za Qur'ani
IQNA – Kozi ya Tafsiri ya Qur’ani Tukufu imefanyika katika mji wa Basrah, Kusini mwa Iraq, kwa kushirikisha zaidi ya wanafunzi 1,000.
Habari ID: 3479553 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07
Maulidi
IQNA - Wanazuoni wa dini mbalimbali walihudhuria mkusanyiko katika haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, Jumamosi, kuadhimisha Maulid au kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479468 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/22
Harakati za Qur'ani
IQNA - Vituo vinne vya Qur'ani vimewekwa kwenye barabara zinazoelekea mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479369 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la kwanza la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaliyopewa jina la Tuzo la Qur'ani la Iraq yatafanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Baghdad, mwezi wa Novemba.
Habari ID: 3479355 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/30
Arbaeen
IQNA - Wizara ya mambo ya ndani ya Iraq imetangaza kuwashikilia wanachama 11 wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIL au ISIS).
Habari ID: 3479251 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09
Imam Ali (AS) Najaf, Iraq,
Siku ya Ashura inapokaribia, ua wa haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, ulifunikwa na zulia jekundu.
Habari ID: 3479122 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14
IQNA - Afisa mmoja anasema kauli mbiu ya maandamano ya mwaka huu ya Arbaien ilichukuliwa kwa kuzingatia ukandamizaji wa kikatili unaoendelea wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
Habari ID: 3479003 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/23
Utawala katili wa Israel
Mwanazuoni wa Kiisalmi , iraq alilitaja wazo la kuhalalisha au kuanzisha uhusiano w kawaida kati ya nchi hiyo ya Kiarabu na utawala wa Kizayuni kuwa jambo lisilowezekana.
Habari ID: 3478985 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/19
IQNA – Mshiriki mkongwe zaidi aliyewasili katika ibada ya Hija mwaka huu ni mwanamke kutoka Iraq.
Habari ID: 3478949 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/08
Sala ya Idu
IQNA - Sala ya Idul Fitr katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ilishuhudia mahudhurio makubwa ya waumini na wafanyaziyara siku ya Jumatano.
Habari ID: 3478671 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Tukufu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala hivi karibuni ilihitimisha awamu ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kusoma Qur’ani, ambayo yamefanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478612 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01
Mapambano ya Kiislamu yaani Muqawama
IQNA - Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawama) ya al-Nujaba ya Iraq amesema harakati hiyo itaendelea kulenga ngome za utawala wa Kizayuni kwa lengo la kuonyesha mshikamano na Palestina.
Habari ID: 3478414 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26
Ugaidi wa Marekani
IQNA-Utawala wa Marekani unaendelea kulaaniwa kufuatia hujuma yake ya kigaidi iliyopelekea kuuawa shahidi Abu Baqer al-Saadi, mmoja wa makamanda wa muqawama wa Kiislamu nchini Iraq.
Habari ID: 3478325 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09
Siasa
IQNA-Serikali ya Iraq imelaani vikali mashambulizi ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Marekani dhidi ya maeneo kadhaa ya nchi hiyo na nchi jirani yake Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimekiuka mamlaka ya kujitawala ya nchi hiyo.
Habari ID: 3478297 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) katika mji wa Karbala nchini Iraq imetangaza tukio lake kubwa la Qur'ani, "Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kuhifadhi Qur'ani," ambayo itafanyika kama mashindano ya televisheni yaliyo wazi kwa wasomaji kutoka nchi zote.
Habari ID: 3478296 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03
IQNA - Siku ya 27 ya mwezi wa Hijri wa Rajab iliteuliwa kuwa Siku ya Kitaifa ya Kurani Tukufu nchini Iraq.
Habari ID: 3478283 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01
Siasa
IQNA - Kutumia neno "Israel" katika kuashiria utawala wa Tel Aviv kumepigwa marufuku katika vyombo vya habari vya Iraq, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478213 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18