TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kitaifa ya Walemavu wa Macho yamemalizika Jumatatu wiki hii nchini Iraq.
Habari ID: 3471840 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/13
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya pili ya Mashindano ya Qur'ani ya Majeshi ya Iraq wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3471754 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/28
TEHRAN (IQNA)-Jana Jumanne, Bunge la Iraq lilimchagua Barham Salih, kuwa rais mpya na Adil Abdul Mahdi kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471700 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/03
TEHRAN (IQNA) Mamilioni ya Waislamu, hasa Mashia, wamejitokeza katika maeneo mbali mbali kote duniani kukumbuka tukio chungu la Siku ya Ashura, siku ambayo aliuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471681 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/20
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya magaidi 19,000 wa ISIS (Daesh) wameuawa Iraq katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, amesema mkuu wa polisi nchini humo.
Habari ID: 3471429 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/15
TEHRAN (IQNA)-Watu wasuijulikana wameuhujumu msikiti wa eneo la kati mwa mji mkuu wa Sweden, Stockholm Ijumaa usiku na kuchora nembo za kinazi.
Habari ID: 3471364 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/21
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Iraq limefanikiwa kuukomboa mji wa kistratijia wa Hawija ambao ulikuwa ngome kuu ya mwisho ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini humo.
Habari ID: 3471206 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/06
Sayyid Ammar Hakim
TEHRAN (IQNA)- Sayyid Ammar Al-Hakim, kiongozi wa Muungano wa Kitaifa, ambao ni mrengo mkubwa zaidi wa kisiasa nchini Iraq amesema kuna haja ya kutumiwa njia ya mazungumzo kutatua hitilafu zilizopo kuhusu eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan nchini humo.
Habari ID: 3471179 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/18
TEHRAN (IQNA)-Baada ya serikali ya Iraq kutangaza rasmi kukombolewa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa magaidiwa ISIS au Daesh, imebainika kuwa wakazi wa mji huo wanahitaji ushauri nasaha.
Habari ID: 3471058 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/10
TEHRAN (IQNA) Duru za usalama Iraq zinadokeza kuwa kuna uwezekano kuwa, kinara wa kundi la ISIS au Daesh la magaidi wakufurishaji kundi, Abubakar al-Baghdadi amenaswa kwenye mzingiro uliowekwa kwenye katika mji Mosul nchini Iraq.
Habari ID: 3470916 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/03
TEHRAN (IQNA)Jeshi la Iraq limetangaza kumuua kinara nambari mbili wa kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh katika shambulizi la anga, magharibi mwa mkoa wa al-Anbar nchini humo.
Habari ID: 3470915 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/02
IQNA: Kinara wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh ametoroka mji wa Mosul, Iraq kwa msaada wa wanajeshi wa Marekani katika eneo hilo.
Habari ID: 3470887 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/10
IQNA-Imamu wa msikiti mmoja katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad amepigwa risasi na kuuawa magharibi mwa mji huo.
Habari ID: 3470877 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani daima inapinga nguvu na kupata uwezo nchi za Kiislamu ikiwemo Iraq na kamwe hatupaswi kuhadaika na dhahiri na tabasamu za Wamarekani.
Habari ID: 3470736 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/12
IQNA: Magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS (Daesh) wamebomoa misikiti 104 katika mji wa Mosul nchini Iraq katika mapambano yanayoendelea sasa katika eneo hilo.
Habari ID: 3470730 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10
IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Iran amelaani hujuma za kigaidi iliyopelekea watu wasiopungua 24 kuuawa katika miji ya Samarra na Tikrit nchini Iraq siku ya Jumapili.
Habari ID: 3470660 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/07
Kinara wa magaidi wakufurishaji wa ISIS (Daesh), Ibrahim al Sammarai, maarufu kama Abu Bakr al-Baghdadi, amepewa sumu akiwa pamoja na makamanda wengine wa kundi hilo katili.
Habari ID: 3470596 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/03
Magaidi wa ISIS Alhamisi walishambulia ziara la mjukuu wa Mtume Muhammad SAW katika mji wa Balad ulioko umbali wa kilomita 80 kutoka Baghdad na kuua watu wasiopungua 40.
Habari ID: 3470441 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08
Watu 14 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja viungani mwa Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
Habari ID: 3470420 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28
Waziri wa Mashauri ya Kigeni Iraq, Ibrahim Jafari amesema magaidi wa ISIS (Daesh) wanatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani Tukufu ili kuzuia jeshi la Iraq kuingia mji wa Fallujah.
Habari ID: 3470373 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/09