iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Brigedi za Hizbullah ya Iraq zimesema kuwa mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo yataendelea hadi wavamizi wote wa Kimarekani watakapofurushwa kikamilifu nchini Iraq na katika eneo zima la Asia Magharibi.
Habari ID: 3472405    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/25

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya wananchi wa Iraq leo Ijumaa wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad wakitaka kuondoka nchini humo wanajeshi wa Marekani kufuatia shambulio kubwa la kigaidi lililofanywa na Marekani hivi karibuni nchini humo.
Habari ID: 3472402    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/24

TEHRAN (IQNA) – Awamu ya kwanza ya ukarabati muhimu wa Msikiti wa Al Nouri mjini Mosul Iraq imekamilika. Msikiti huo ulihujumiwa na kubomolewa na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) mwaka 2017.
Habari ID: 3472394    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/22

TEHRAN (IQNA) - Vikosi vya Kujitolea vya Wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi vimeharibu pango kubwa zaidi la magaidi wa ISIS (Daesh) kaskazini mwa Iraq.
Habari ID: 3472365    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/12

TEHRAN (IQNA) – Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad nchini Iraq, Jumatnao ulitangaza kusitisha huduma zote kwa umma kufuatia maandamano ya wananchi waliokuwa na hasira wa Iraq nje ya ubalozi huo.
Habari ID: 3472326    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinzudi ya Kiislamu akibainisha kwamba, 'Mimi, serikali na taifa la Iran tunalaani vikali shambulizi la Marekani dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq', amesisitiza kuwa, watu wa eneo hili wanaichukia sana Marekani.
Habari ID: 3472324    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/01

TEHRAN (IQNA) - Malefu ya wananchi wenye hasira nchini Iraq leo wameandamana mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad baada ya mazishi ya wapiganaji wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi maarufu kama Al Hashd al Shaabi ambapo wamelaani vikali hujuma ya anga ya Marekani dhidi ya vituo vya harakati hiyo.
Habari ID: 3472320    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/31

Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Ahul Sunna
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Ahul Sunna nchini Iraq amesema kuwa maadui wanalenga kuibua vita vya ndani na kuigawa nchi hiyo vipande vipande.
Habari ID: 3472313    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/29

TEHRAN (IQNA) Bunge la Iraq lililokutana kwa kikao cha dharura kilichofanyika Jumapili limeukubali uamuzi uliochukuliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Adil Abdul-Mahdi wa kujiuzulu wadhifa wake huo.
Habari ID: 3472250    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/02

TEHRAN (IQNA) – Serikali za Iran na Iraq zimelaani hujuma dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mtakatifu wa Najaf huku serikali ya Iraq ikisema hujuma hiyo imelenga kuvuruga uhusiano wa kihistoria wa nchi hizi mbili jirani.
Habari ID: 3472237    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/28

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya Waislamu na wasiokuwa Waislamu wanakusanyika katika mji mtakatifu wa Karbaka nchini Iraq kwa ajili ya kushiriki katika shughuli ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib AS.
Habari ID: 3472177    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/18

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu usiku wa kuamkia Jumatatuametuma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter kuhusiana na machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq akisisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano kati ya mataifa ya Iran na Iraq.
Habari ID: 3472161    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/07

TEHRAN (IQNA) – Utulivu umerejea katika mji mkuu wa Iraq Baghdad, baada ya machafuko ya siku kadhaa.
Habari ID: 3472158    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/04

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani inapinga mchakato wa demokrasia nchini Iraq.
Habari ID: 3471903    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/07

TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa la miujiza ya Qur'ani Tukufu limefanyika hivi karibuni katika mji mkuu wa Iraq, Baghadad.
Habari ID: 3471845    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/18

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kitaifa ya Walemavu wa Macho yamemalizika Jumatatu wiki hii nchini Iraq.
Habari ID: 3471840    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/13

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya pili ya Mashindano ya Qur'ani ya Majeshi ya Iraq wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3471754    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/28

TEHRAN (IQNA)-Jana Jumanne, Bunge la Iraq lilimchagua Barham Salih, kuwa rais mpya na Adil Abdul Mahdi kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471700    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/03

TEHRAN (IQNA) Mamilioni ya Waislamu, hasa Mashia, wamejitokeza katika maeneo mbali mbali kote duniani kukumbuka tukio chungu la Siku ya Ashura, siku ambayo aliuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471681    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/20

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya magaidi 19,000 wa ISIS (Daesh) wameuawa Iraq katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, amesema mkuu wa polisi nchini humo.
Habari ID: 3471429    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/15